Natafuta chumba(master) na sebule ya kupanga, bei isizidi 150,000/= maeneo ya Sinza au Mwenge

Sashay

Member
Jan 20, 2010
38
1
Wadau, naombeni mnisaidie natafuta chumba(master) na sebule ya kupanga, bei isizidi 150,000/=. Maeneo ya Sinza au Mwenge na kuwe na maji. Kama unamiliki au unamjua mtu anayemiliki au mpangaji anayetegemea kuhama hivi karibuni naomba unijulishe. Asanteni.
 
Kama kuna mdau atakatiza mitaa hii mie pia nahtaji chumba kimoja kwa maeneo ya Knyama, Mwenge, Makumbusho, Vctoria; sehemu yoyote ambayo ntapanda daladala moja hadi Posta.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom