Recent content by saradaima

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    kuna watu wamenipigia cm wanasema wapo Tamisemi niwape hela wanisaidie kupata kibali cha Uhamisho,kweli kibali in mpaka hela au wanataka kunitapeli jamani? taratibu zinakuwaje kwa wanaojua fomu zikifika Tamisemi? NISAIDIENI
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa Serikali

  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tested HIV positive, looking for a soul mate

    Waathirika wapo wengi wanaohitaji wenza wa maisha,kama upo serious nipe namba yako ya cm nikutext nikuunganishe rafik yangu
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mahusiano mwaka wa tano na hawajui ndugu wa mwanaume na sasa ni mjamzito

    Sie wanawake ni wajinga sana,mwambie hapo hana chake huyo jamaa yake ni mzinzi tu hawezi kumuoa
  5. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo nyamagana mwalimu sekondari nije songea manispaa.Nitafute kwa simu namba 0755892235
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siku Nilipotua kwa ndege Bukoba nikiwa peke yangu!

    Mwenye nacho huongezewa,mkuu hii ndio Tanzanai yetu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

    hongera,ni uamuzi mzuri.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baba Majirani mbona wanatuchukia?

    Daah,inauma kwa kweli. Babu tuonyeshe njia huko uliko.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya kuendelee kuipenda serikali hii- mshahara hakuna tena mwanza .

    Natamani mpaka kuhama huu mkoa jamani,inaniuma kuona haki yangu ya msingi nabaniwa na hii serikal ya baba Riz.Mola atawalaani..!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania WATUMISHI WA UMMA(civil servants)

    Mwanza mpaka leo hatujapata mshahara,ni majanga kwa kweli.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Obama asije kukushauri ndoa za jinsia moja ukakubali

    Wamezaliwa wakiwa na homoni za ushoga,cjui utamrekebishaje? Ushoga ni tofauti na wizi jamani.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Labda padre slaa angeendesha misa online.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nassari: Lowassa anahusika kunipiga

    Vituko vya wabunge wetu hivyo.Ni zaidi ya vichekesho.
  14. S

    JamiiForums Tanzania MISHAHARA YA WALIMU ITAKUWA SH NGAPI, anaejua plz

    Ni ukweli kwa asilimia 75 mkuu.
Back
Top Bottom