mbuyuwangu
Member
- Jun 9, 2013
- 12
- 0
Walimu wengi wameacha kazi na kubaki na ajira tu. Wasipoongeza salary walimu endelezeni zenu za kubaki na ajira na kuacha kazi.
Walimu wengi wameacha
kazi na kubaki na ajira tu. Wasipoongeza salary walimu endelezeni zenu
za kubaki na ajira na kuacha kazi.
Inategemea Uko daraja gani. Serikali imefuta waraka wa mishahara wa mwaka2002; na madaraja yamekua hivi:
Aliye TGTSB sasa wanapelekwa D
C-F; D-F nk sasa Mwl wa grade A ataanzia TGTS D. Hayo ndo marekebisho. Kuna walimu zaidi 81;000 walikua wamefikia Bar yaani tgts E sasa wanapelekwa G
- Huyo ni mwenye masters ama PhD!??
kwani mkuu hawa walimu wanalipwa shilingi ngapi? namaanisha wa shule za msingi na sekondary
Tupe chanzo cha taarifa hizo mkuu maana naona kama conspirance theory flan hivi.Kama ni kweli basi naona wameanza kuchukua hatua muhimu kuokoa Elimu ambayo sasa iko ICU.
weee! ulikuwa unamaanisha 803600/= au? kama sivyo na badala yake ni kama ulivoandika hapo ujue si kwa nchi hii na haitotokea milele!Hizi Ndoto Za Mchana! Kwa Serikali Gani Upate Mwalimu Uliyedharaulika Mshahara Ya 8036000/=