Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
- Thread starter
- #21
Asante sana ila mapungufu ya baba ni mengi na hayavumiliki tena
Hahahahaaa Elli you are so creative! Big up! Hii lugha iliyotumika hata jirani hawezi kuistukia kw urahisi! Manake tunamueleza baba mapungufu yake bila kumuadhiri kwa majirani! Na hata wachangiaji wote wamezingatia.....