Recent content by Saplaiz

  1. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Carry (Kirikuu) inauzwa 5m

    Bado ipo sokoni Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Carry (Kirikuu) inauzwa 5m

    Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Imetembea 195,000km Namba D iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani Bei tsh milioni tano Location: Ubungo DSM Call: 0683 360972 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Membe jiandae kisaikolojia

    Umeeleweka msemaji wa watanzania, tusubiri 2020
  4. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    Interesting article lakini sijaelewa ni kwanini Traveller arudi past kuua wazazi wake? By the way kuna series naiangalia inashahabiana na haya maudhui though ni kwa angle tofauti inaitwa counterpart
  5. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza akaniambia huyu ni mnyama gani..?

    Huyo mnyama anaitwa Diamond platinumz
  6. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Muzungu ametoka mbali kumbe aisee, hii ni Liverpool, Uingereza miaka 1890!

    Kipindi hiki sijui Africa ilikua kwenye hali gani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Saplaiz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

    Duh yaani mtu kuzingua kidogo tu unakuja kumuanzishia uzi, I feel very sorry for you. Na usitegemee mtu akajiweka kwako kwa style hii
  8. Saplaiz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulionyimwa appointment na wapenzi zetu leo x-mass tukutane hapa

    I'm sure ulimaanisha declare instead of decrare
  9. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania List ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa urefu zaidi duniani

    Mkuu siku nyingine anza na namba kumi kushuka chini mpaka moja, inapendeza zaidi.
  10. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania Fiesta kuzuiwa: Clouds wanaweza kuishtaki Manispaa na kudai fidia ya mabilioni, maamuzi yao yanaichafua awamu ya tano

    Yaani JPM au Majaliwa watoe kauli kuhusu fiesta [emoji44] are you serious!? [emoji848]
  11. Saplaiz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amini Kwamba Wakenya wanatuzidi Comedy Tu

    Eric Omondi, the greatest of all
  12. Saplaiz

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Copa Cabana mtwara (Gas city)
  13. Saplaiz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Otile ameangusha nyingine bonge la

    Kwani hao Nigeria et al., mziki wao wanasapotiwa na nchi zao pekee au mi ndo sielewi [emoji849]
Back
Top Bottom