Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

mmh mbona nipo hapa mitaa ya philips lakini sijaipata hiyo ishu
Kweli basi mimi nilienda hapa kwa fundi wa nguo nilimpelekea nguo akaniambia eti usiamini hii mitandao sana sana.
Kwa sababu mwenzenu alikuwa anasoma sijui ni chuo gani nitaenda kuuliza tena so akamfuata huyo mkijana na baada ya siku moja demu kutafutwa kila mahali akakutwa guest nikiwiliwili tu basi
 
So mbona matukio kama hayo huwa yanatokea kwa victims wanaokutana mitaani pia .. au haujawahi kusikia me/ke akiwa amemuua mwenzie kisa tu masuala ya wivu wa mapenzi ... Mind you kila positive lazima iwe na upande wa pili wa shilingi ambao ni negative .. namaanisha kwamba hakuna jambo zuri litakalo kuwa ni zuri completely ni lazima zitakuwa na kasoro zake .. ni kama ambavyo tunavyo tumia vyombo vya usafiri kusafiri na kuturahisishia kuweza kuzifikia fursa mbali mbali za kiuchukuzi zinazo tusaidia katika maisha yetu ... lakini kuna wakati vyombo hivyo vya usafiri huwa vina tuua ...

Mfano mdogo ni huu ... muulize mtu yeyote humu kama hajawahi kuumizwa katika mapenzi .. swali ni je !!? Hao walio waumiza walikuwa wanatoka mitandaoni ... mitandao africa imepata umaarufu katika kipindi hiki cha muongo mmoja .. lakini kabla ya hapo watu walikuwa wanauwana kwa ajili ya mapenzi ..watu walikuwa wana danganyana na kusalitiana ... so tuache kuisingizia mitandao aisee ... mitandao ni kama sehemu tu ya ulimwengu " kuna watu wema ambao nafsi zao zimeshiba utu na kuna watu wabaya makatili " muhimu kwetu ni kuwa makini pindi tunapo jihusisha kimapenzi na watu ambao tumekutana nao humu " hii itatusaidia kuweza kuangalia vizuri sehemu ambazo tunapaswa kukanyaga hatua zetu za maisha ..


Sio una kutana na mtu tu unampa namba ghafla unaanza kujirahisha .. unaacha kukaa chini na kumsoma undani wake vyema ... jitahidi hata uwajue ndugu zake wawili watatu na marafiki pia ..ikiwezekana upajue mpaka anapoishi " Kabla hata ya kuamua kungonoka nae .. hii itamfanya akuone kuwa unajitambua unaijua thamani yako " na ataanza kuweka umakini kuhusu wewe .... (hii ni kwa wale wanao hitaji mahusiano yenye future )
umeongea point hadi nimekupa like big up sanaaa hearly
 
Kweli basi mimi nilienda hapa kwa fundi wa nguo nilimpelekea nguo akaniambia eti usiamini hii mitandao sana sana.
Kwa sababu mwenzenu alikuwa anasoma sijui ni chuo gani nitaenda kuuliza tena so akamfuata huyo mkijana na baada ya siku moja demu kutafutwa kila mahali akakutwa guest nikiwiliwili tu basi
kumbe bado huna uhakika sio
 
Duh yaani mtu kuzingua kidogo tu unakuja kumuanzishia uzi, I feel very sorry for you. Na usitegemee mtu akajiweka kwako kwa style hii
 
Back
Top Bottom