List ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa urefu zaidi duniani

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
saaa.jpg

Moja ya miundombinu inayorahisisha usafirishaji ni pamoja na uimara wa madaraja, China ni miongoni mwa Mataifa makubwa duniani ambapo uchumi wake unazidi kukua pamoja na miundombinu yake..ndiyo nchi pekee inayoongoza kwa miundombinu ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa ubora duniani.
Hapa ninayo hii list ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa refu duniani…



1. Danyang Kunshan Grand Bridge-China



2. Tianjin Grand Bridge-Beijing China



3. Weinan Weihe Grand Bridge-China



4. Bang Na Expressway-Thailand



5. Beijing Grand Bridge-China



6. Lake Pontchartrain Causeway-USA



7. Manchac Swamp Bridge-China



8. Yangcun Bridge-China



9. Hangzhou Bay Bridge-China



10. Runyang Bridge-China



Na serikali ya Tanzania ipo mbioni kujenga daraja refu kukoka Agha Khan hadi Coco Beach
 
Ungeweka na urefu wake (km au M) inge-make sense zaidi.
 
Mkuu siku nyingine anza na namba kumi kushuka chini mpaka moja, inapendeza zaidi.
 
Daraja jembamba kuliko yote duniani lipo Tanzania, si jingine ni Wami.. hata gari moja linapita kwa kunyata.
 
Back
Top Bottom