UWAZI,UMAKINI,NI JAMBO ZURI KWA VIONGOZI WETU TUNAKUSHUKURU KATIBU KWA UFAFANUZI MZURI NA UMAKINI WA KUJIBU HOJA KWA WAKATI UNAOTAKIWA BIG UP KUBWA CHADEMA NGUVU YA UMMA
Thanks
viti maalumu magamba kweli hili nalo zuzu kanumba anakampuni kwa nini hakuajiri mabody guard wake km alikuwa anahitaji hilo,kwa hiyo tutumie hela za walipa kodi kuwalipia wasanii mabody guard siyo hana point kabisa na je watu wa sinza hawahitaji usalama kweli mazuzu wako wengi lkn eti sisi...
Nakumbuka Jana waziri mkuu aliulizwa pesa za Korosho akawa anajibu kama hazijui na kila kitu kiko kwenye mchakato sasa Tanda himba poleni fedha ziko kwenye mchakato sasa amua mwenyewe chukua hatu CCM HOYEEEEEEEEE
Haya ni mambo ya kushangaza sana lkn TBC nimewazoea sana si chombo cha umma kabisa ni chombo cha Tabaka fulani watueleze TV hiyo ya umma imeingiza kiasi gani cha hela kwenye urushaji wa matangazo ya mazishi haya na je kunaumuhimu gani wa kurusha matangazo haya mchakato wa uchaguzi na mambo...
Sio tu nchi maskini ni nchi ya wajinga walio wengi + maskini wa kufikiri hv tangia 1961 mpaka leo spika alikuwa nakaa wapi na hii nyumba ni kwa ajili ya akiwa kikao kwa vikao vingi vya kamati vinafanyika Dar na huko ajengewe nyumba tena kidumu chama cha magamba
Posho hizo wadau inaonekana jamaa hakujipanga wakati ana deliver hoja yake sasa akavue samaki ziwa Tanganyika na akivua samaki wadogo tutamchukulia sheria mjengoni Bye Bye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.