Recent content by sangujoseph

  1. sangujoseph

    Kwanini tunamuonea Joti?

    By Sangu Joseph Siku kadhaa Nyuma nilipata muda wa kutafakari kwa kina kuhusiana na Mchekeshaji Joti, nadhani kama Heshima anayopewa siyo anayostahili hapa kwetu Tanzania. Mimi kwangu binafsi @jotiofficial ni Moja ya watu ambao wanaifanya game ya Comedy itazamwe sana Bongo, na sababu kubwa ni...
  2. sangujoseph

    Harmonize angeomba hili kabla ya tuzo

    By Sangu J Nimeona madai ya Konde Boy Mjeshi, @harmonize_tz kuhusiana na kutokuwepo kwa Tuzo na kusema inafanya muziki wetu usipige hatua na ameeleza inafanya Wasanii wenye vipaji wasioneshe vipaji kwa sababu anaImpressions chache Mtandaoni. Hii hoja imenigusa Kwa sababu Tu siku kadhaa Nyuma...
  3. sangujoseph

    Sababu za Harmonize kumuacha kimuziki Ali Kiba

    . By Sangu Joseph . Kwenye Uchambuzi wangu nimeeleza huenda Alikiba akashushwa kimuziki na Konde Boy Harmonize, Kwa sababu Tu wanaomsupport Kiba ndiyo haohao wanaomsapoti Konde Boy. Kitakachokuja kutokea ni kugawana wadau na Konde atakua nso wengi zaidi Kwa sababu yeye anaproject nyingi Sana...
  4. sangujoseph

    Aslay, Rich Mavoko wanavyojishusha kimuziki

    . By Sangu Joseph . Unajua ukishakuwa Msanii Mkubwa kuna hatua 2 ambazo utajikuta unazipitia unategemea na hatua uliyokuwa nayo Kwa wakati huo na wewe unazihandle vipi. Hatua ya 1 ni KUSHAMBULIA Msanii anakuwa mshambuliaji pale ambapo huwa anakuwa anatoa Ngoma na zinahit Mtaani, kila mahali...
  5. sangujoseph

    Nandy usije kulia kama Vanessa Mdee

    By Sangu Joseph Njia ya kuanguka kimuziki ya Vanessa Mdee nadhani inafaa kuwa fundisho Sana kwa Wasanii wakike nchini lakini Kwa Leo naomba niidedicate Kwa Nandy zaidi. Inawezekana mkaniona wa ajabu Kwa hili la Vanessa kuliita anguko muziki Kwa sababu nalifananisha na anguko la Lina Sanga...
  6. sangujoseph

    Vanessa Mdee ni mwanakulitaka na amelipata

    Sijasema najua Ila nimekupa Mfano wa wasanii ambao hawajawahi kulalamika
  7. sangujoseph

    Vanessa Mdee ni mwanakulitaka na amelipata

    By Sangu Joseph . Kwanza kabla ya yote nieleze masikitiko yangu na kuonesha kuhuzunishwa kwangu, na mambo aliyoyasema Dada na Msanii wetu Vanessa Mdee juu ya namna ambavyo wasanii wakike wanahaha ili kukidhi mahitaji Yao, Pole Sana. VMoney tumeona malalamiko yake akidai Kwamba mziki wa ni...
  8. sangujoseph

    Ombi langu la pili (2) kwa Rais Magufuli

    Baada ya siku chache kueleza ombi langu Kwa Rais Magufuli juu ya kuzitenga Sanaa na Michezo ziwe Wizara zinazojitegemea niliahidi kueleza ambavyo nadhani Serikali itajikusanyia Kodi nyingi kupitia Sanaa hasa baada ya kuonekana kukua Kwa Kasi zaidi Kwa 2019/20 (Rudi post zilizopita soma tena)...
  9. sangujoseph

    Aslay ana tatizo gani, mbona simuelewi?

    Hivi mnamuelewa Aslay, labda nianze kuwauliza ndugu zangu, maana nilishafikiria Sana mpaka nimeona niwasharikishe na nyinyi. Aslay ni Moja ya Wasanii Wazuri Sana Bongo na wanakipaji cha Hali ya juu Sana, na waswahili wa Mtaani wanamuelewa sanasana nadhani Kwa sababu wanamjua Mswahili mwenzao...
  10. sangujoseph

    Napendekeza Baraza lijalo la Mawaziri, Sanaa na Michezo zingekuwa Wizara 2 tofauti

    By Sangu Joseph Leo Juni 16, 2020 Rais Magufuli alizungumza Bungeni jijini Dodoma, kulivunja Bunge kama wanavyosema Wataalam, amezungunza mambo mengi sana, Ikiwemo Uchaguzi, Siasa, Uchumi, Sanaa, Elimu, natamani sana kuandika kuhusu vyote hivyo, lkn Leo nianze kwa kimoja cha Sanaa. Katika...
  11. sangujoseph

    Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

    Pole Sana Mkuu Mimi walinipiga wiki 2 zilizopita na majina ni hayo hayo, hawa jamaa nadhani Wana utaalamu wa kujua salio lako, Kwa sababu wakifika huwa wanachukua muda mrefu kutoa Pessa na akiwa anatoa unatakiwa uwe makini Sana, anachokifanya akishajua salio lako la Tigo anajumlisha na kiasi cha...
  12. sangujoseph

    Nani azifikishe salamu zangu kwa Ali Kiba?

    . By SanguJoseph Leo nataka tuwaze pamoja, Kwa nyinyi kupokea salamu zangu kwa Alikiba,, msianze kusema wewe Sangu J unachuki Zako binafsi na Kiba, mbona kila siku wewe unamuangalia kwenye kumkosoa na si kumpongeza jibu lako nitakwambia nafanya hivyo kwa sababu nahisi sehemu aliyopo Alikiba...
  13. sangujoseph

    Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

    . By Sangu Joseph . Ebwana ni siku nyingine tena, natimiza ahadi niliyoitoa kwenye Andiko langu lililopita () juu ya maoni yangu namna ambavyo Boss Majizzo huenda akaitumia silaha yake mpya ndani ya EFM na TV- E. Kabla sijaenda ukiangalia kwa sasa EFM wako Transition period, kuna kundi fulani...
  14. sangujoseph

    Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

    Moderators mnazingua Sana kuichanganya maandiko yangu na machapisho mengine, Mimi naahidi watu kuwaandikia mwendelezo nyinyi mnazichanganya kama Comments mnataka nionekane Muongo sio, mnatuharibia Kwa wanaofuatilia, it's mseme tusiwe tunachapisha kitu ambacho ni muendelezo
  15. sangujoseph

    Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

    Mkuu huijui Clouds, kuna kitu kinaitwa Clouds na kuna Watangazaji wa Clouds, Kwa heshima na umaarufu wa Clouds hamnaga Kosa kwenye usajili wao, wewe unasema Meena ni mbovu kamsikilize Meena wa XXL ndiyo utamjua ni nani
Back
Top Bottom