Recent content by Sanahi Mogita

  1. S

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    mm nna mawazo kadhaa 1- Hii mada inajibiwa kijamii na sio kidini kama mnavyofanya ndugu zangu wasabato kwa kuweka vifungu vya Bible. Kumbuka humu kuna wasioamini ktk hicho unachoamini wewe kwahiyo kutujazia humu story za vifungu na magazeti ni kuwek uchafu tu na kupoteza mda. 2- Serikali yetu...
  2. S

    Hii hutokea chuo cha usafirishaji (NIT) tu

    mm nadhan hamjafuata utaratibu, muoneni waziri wenu wa elimu kisha muende kwa Mkuu wa idara, akizingua kwa dean of school, akizingua fika director of undergraduate akizingua fika wizarani naamini ukifuata utaratibu utapata msaada. kwa jinsi ulivyoieleza patakua Na errors Na kama ni kweli...
  3. S

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    mm nna ushauri tu, hoja zinazohusisha dini hua haziishi coz kila mtu anaamini ktk kile anachoamini, so tuwaacheni tu hawa ndugu waamue ya kwao ilomradi tu hawaingilii Uhuru wetu. pia kwa mnaopenda mabishano kuwen makini maana hawa jamaa ata ukibishana nao mpaka kesho hamna utakachoambulia; ni...
  4. S

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    JamiiForums raha sana Mtu analima miwa Kagera na elimu yake ya la saba, muda huo anakwambia anasoma UDSM tena anakazia "hiiiii udsm kuna msuli aisee tumeteseka sana kupata degree pale " na wasomi wanatoa povu Mwingine anachunga ng'ombe Mara alafu anakwambia anafanya kazi taasisi za kimataifa...
  5. S

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    UDOM ikifanya vizuri inaonekana wanabebwa, ikifanya vibaya, wanaonekana wajinga, hamuoni mnakosa hoja jamani? Binafsi hii inanipa ishara kuwa UDOM inafanya vizuri sana ndio maana baadhi ya vyuo vilivyodhani kuwa vitakuwa bora siku zote vinashangaa Nn kuchukia kuona kuna chuo kinakuja kwa kasi...
  6. S

    Aliahirisha mwaka wa masomo lakini ameenda chuo na kukuta ana SUPP za kutosha

    Very wonderful!!! yan RESEARCH INSTITUTION inasimamia UNIVERSITY? Aisee kweli hii bongo, yan Taasisi ya utafiti isimamie walimu na wanafunzi wa Chuo Kikuu. Tena anayesimamia ni mtu mmoja kwa miaka 30. Alafu akawaases wanafunzi na walimu wa UDOM kwa miaka 30 ikiwa UDOM ina miaka 11 ya...
  7. S

    Aliahirisha mwaka wa masomo lakini ameenda chuo na kukuta ana SUPP za kutosha

    Mara nyingi jamii forum imejaa usanii mtu anakwambia ana experience ya miaka 30 then anabishana na vijana humu kuhusu mambo ya vyuo? ktk hali ya kawaida, mtu mwenye experience ya miaka 30 ana zaidi ya umri wa miaka 50 kwa historia ya taifa letu. Sitegemei mtu huyu aandike matusi wala current...
  8. S

    Top Universities in Tanzania and in Africa

    Kweli kabisa, Kile chuo kasi yake ni kubwa sana Na hapo hakijakamilika. Hope kitaiwakilisha vyema nchi ya Tanzania
  9. S

    Hii Kenya sio yenu

    Binafsi sijajua niko upande gani hasa nikijaribu kujiuliza maswali yafuatayo: 1- Je, kama akishinda Odinga, nini maamuzi ya Kenyatta & chama chake? 2- Je, Kama akishinda Kenyatta: Nini nafasi ya Odinga & mahakama, Na je itakuaje kuhusu garama zilizotumika kurudia uchaguzi? 3- Amani ya...
  10. S

    UDOM, Home Of Knowledge

    Andika tu utakachoandika lkn hakina maana yoyote coz hakuna mtu ambae hafaham, the fast growing university in East and central Africa. By the way, furahia/pambana na hali uliyonayo na sio ushabiki wa vitu visivyo na msingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    UDOM, Home Of Knowledge

    Karibuni tupeane habari na sio matusi wala kejeli, tujadili maswala katika jamii yetu na sio kujadili watu. Kwa wageni wote, come and join/see the UDOM community: There are real people living real life in the real community for the reality and truth of national development. Sent using Jamii...
  12. S

    UDOM, Home Of Knowledge

    Kwa taarifa, swali, hoja na chochote kile kuhusiana na Chuo Kikuu cha Dodoma, tukutane hapa. First year, 2017/2018. Karibuni sana UDOM: They call it UDOM but we call it HOME, this's the home of knowledge; welcome to our home [emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Usijipalie kwa chuo, tena chuo chenyewe udsm; bora ungenambia UDOM, SUA, MZUME au Muhimbili: lkn yote kwa yote lazima utambue kua kila mtu na kila chuo/course aliyopo anapitia mengi na magumu: usijedhani magumu hayo unayapitia wewe tu! Elimu unayoipata, tuione ikitumika kuisaidia FAMILIA na...
  14. S

    Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

    Ni kweli kabisa, Kuna vitu vijana wengi hatuelewi: Kila chuo nchini ni bora kulingana na nafasi yake; Kama vijana lazima tuelewe kua ubora wa elimu yetu utaonekana kwa MSAADA WETU KWA FAMILIA NA JAMII ZETU TUNAMOISHI, na sio majivuno na maneno yasiyo na maana; Unakuta mtu anatembea anadunda...
Back
Top Bottom