Sanahi Mogita
Member
- Aug 18, 2017
- 16
- 21
Kweli kabisa,Kwa speed yao hili linawezekana
Kile chuo kasi yake ni kubwa sana Na hapo hakijakamilika.
Hope kitaiwakilisha vyema nchi ya Tanzania
Kweli kabisa,Kwa speed yao hili linawezekana
Hiyo namba 7 ni university or institution? Je hizi no higher learning institutions or higher learning universities?Hiyo ni rank ya vyuo vikuu na sio vi-Institution na colleges mkuu.
ARU nao INA bidi wawe nafasi namba moja kwa kuwa wana course na schools ambazo hazi patikani kwenye vyuo vingine, pita kote huko wengi wamesoma ARU katka fani zihusuzo ardhi...Inategemea unazungumzia na taaluma zipi.
Mfano kwa Tanzania hakuna chuo bora cha masuala ya Utawala na Management kama Mzumbe University, tembelea HR na Administrators wengi utaona ni zao la Mzumbe.
Mfano kozi zao za utawala ukiangalia modules zao utaona wanafundisha vitu muhimu sana kama sheria etc.
Tanzania ndiyo chuo pekee chenye School of Public Administration & Management.
ARU nao INA bidi wawe nafasi namba moja kwa kuwa wana course na schools ambazo hazi patikani kwenye vyuo vingine, pita kote huko wengi wamesoma ARU katka fani zihusuzo ardhi...
Au point yako ni nn hapo kuhudu IDM aka MU... Maana kwangu hiki Chuo kilitkiwa kuwa vile vile IDM SIO MU
Hakika Mzumbe ni Chuo cha kijinga...! bora hizo taasisi IFM, ARU kuliko hii taasisi mzumbe...!Usifananishe Mzumbe na vitu vya kijinga mkuu, ARU ni taasisi ya Ardhi tu kama zilivyo taaisis nyingine IFM etc.
Hakika Mzumbe ni Chuo cha kijinga...! bora hizo taasisi IFM, ARU kuliko hii taasisi mzumbe...!
Mzumbe hamna kitu, nenda kaulize kinacho fanywa na mwaka wa tatu katka research utaelewa nini namaanisha, mpaka ma HoD imebidi kurudi nyuma kuja kuwasaidia wanafunzi ili wamalize shule, kisa wana funzi wamemaliza field work lakini bado hana title hana data hajui aanze wapi...
alafu una kuja na story ya IDM kulinganisha na MU ya sasa? mzumbe kwa sasa ni upuuuzi ni ujingaaaaa.... ndio maana wana rudi nyuma kuliko kwenda mbele ktk hizo ranks....
ukitumia data za miaka mia iliyopita kutetea hoja ya mwaka 2018 nawe ni mjinga pia kama sio mpuuzi... ni bora ukasome au ushawishi kijana ndg na jamaa akasome UDSM SUA kuliko hapo uchochoroni...
Mzumbe kwa herufi kubwa hamna kitu, wengine research wanafanyiwa na ushahidi upo... alafu una kuja sema chuo ni bora, eti kuna best ma HR toka hapo... narudia tena mzumbe hamna kitu wanazidiwa hadi na OUT.... leo ndio mnakuja kushangaa kuhusu UDOM?
alafu unakuja na kapoint hapo hakuna Taasisi ni vyuo vikuu tu... umeiona hiyo orodha vizuri? vyuo vilivyo orodheshwa vyete ni universities? naona ina onesha jinsi gani Mzumbe ilivyo toa wapuuzi waliopo mtaani na mmoja ni wewe, na kama umeajiriwa basi boss ana hasara kubwa kukuajiri, na ina elekea ni mpiga majungu ofisini na data za kupika....
Mzumbe research kwao ni semister sasa kama semister ana fanya mwingine kwa niaba ya mwingine... unazani hapo kuna nini? narudi pale pale kuwa MU hamna kitu ilikuwa zamani sio sasa...Kama umemalzia hiyo college ya ARU basi sishanngai hoja mbuzi kama hizi.
Kufanyiwa Research hilo sio tatizo, kwani research sio mtihani ndiomana kwenye reference huwa kuna sehemu ya ku-acknowledge watu pamoja na books ulizotumia, duniani kote iko hivyo.
Ndiomana nimekwambia hivyo vitaasisi vyenu sjui vya ardhi ndio mmekalilishwa ujinga huo, kama rasearch mnajifungia chumbani unashusha upuuzi ndiomana mkija kitaa akili inakuwa zero.
Twende kwenye hoja, Nakwambia usifafaninishe MZUMBE na vitu vya kijinga, kama we ni mtanzania na elimu yako cha chuo hukusoma MZUMBE, UDSM basi unatakiwa ujilahumu maisha yako yote.
Muwe mnaangalia methodology inayotumika... si kila university ranking inahusu academic rankings!!This will enable you to make right decision when selecting the university you want to join for high education based on quality according to international rankings.
Just check in two lists incorporated below,
unajua web metric wewe? Kwa taarifa yako yako vyuo vimepimwa kwa vigezo vya ubora wa vyuo. Nakushauri anngalia rankings zote kutoka Za kimataifa hadi kitaifa. Hakuna chombo kingrne kinachopima ubora wa chuo isipokuwa hicho na kinaheshimiwa duniani Kote. Wanaangalia mambo mengi sana.naona watu humu kila mmoja anataka kusifia Chuo alichosoma na kuponda vingine! let's argue or comment as intellectuals!!
binafsi sijaelewa vigezo dhahiri vilivyotumika na hiyo site!!! na nikijarbu kufukunyua nakuta some of their data za vigezo haziko 100% valid! so I personally doubt these ranks!
na, hivi, hamna site ama taasisi mahususi ya kuaminika ya kutoa takwimu Kama hizi? Maana these kinds of taarifa mvurugano hazitusaidii
Mzumbe research kwao ni semister sasa kama semister ana fanya mwingine kwa niaba ya mwingine... unazani hapo kuna nini? narudi pale pale kuwa MU hamna kitu ilikuwa zamani sio sasa...
na ndio maana sishangai kuona ikiporomoka kila uchwao... na data zipo wazi... wewe endelea kuleta ukenge maji... na kiburi cha kukariri madesa uliyo risishwa...
hachana na ARU kabisa mzee... ARU sio upuuzi unao uzungumzia et MU...
nimekupa tu kakitu kadogo ingia katika websites mbili ya ARU na MU uone kama kuna tofauti na kama hauto ona tofauti basi wewe ni kiraza wa hali ya juu mno...
sasa nakuongezea, ingia ktk websites za taasisi zifuatazo, alafu uje ueleze ulicho kikuta huko...
1. ARU
2. UDSM
3. SUA
4. UDOM
5. MUHAS
6. MU (Mzumbe University)
ukikosa jibu au kutofautisha ulicho kiona basi wewe ni zao la MU ambalo halina faida ni hasara kwa taifa...