Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

Ushapata kazi na chemistry yako mkuu...uko wapi tujue na sisi tuombe chemistry mwaka huu hapo Udom.
yap nimeshapata kazi ila kwa sasa kwenye kampuni mpya ya uzalishaji maji ya kunywa kwa mkoa wa dodoma
 
Labda nikienda kusoma masters lakini degree yangu,hamna sup kwa transcript yangu
dah we mrembo ma lecture hawakukupitia kweli maana na nyie mnakashifa ya kutoa hongo ya ngono sana...
 
Wakuu poleni na majukumu.

Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni

GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F

1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?

Nawashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza apply tena, ila alipe deni la awali kama alidhaminiwa na bodi ya mikopo
 
bonobo WANAODISCO NA KUSUP CHUO NI WAZEMBE AU VILAZA, HUO NDIYO UKWELI

Tunakodisha Bunduki NINA ELIMU YA MEMKWA MKUU ILA KUDISCO AU KUSUP CHUO NI UZEMBE AU UKILAZA.. NINA UZOEFU NALO KWA WANACHUO WENG WANAOFELI, FACTORS NI HZO MBILI TU, 'UZEMBE' AU 'KILAZA' AMBAYE HUENDA HUKO NYUMA HAKUFAULU KIHALALI.
 
Victor wa happy BAHATI MBAYA UNAWEZA UKACHUNGUZA ORODHA YA WANAODISCO AU KUSUP HUKO CHUO NA USIMKUTE HATA MMOJA MWENYE SIFA HZO UNAZOTA ZA KUSOMA KWA SHDA.

MKUU WENG WANAOFELI CHUO KIKUU NI VILAZA NA WAZEMBE..
 
dah we mrembo ma lecture hawakukupitia kweli maana na nyie mnakashifa ya kutoa hongo ya ngono sana...
Wapo waliotoa,lakini sipo Hata katika kashfa ya kutoa hongo ya pesa Wala ngono
 
Victor wa happy BAHATI MBAYA UNAWEZA UKACHUNGUZA ORODHA YA WANAODISCO AU KUSUP HUKO CHUO NA USIMKUTE HATA MMOJA MWENYE SIFA HZO UNAZOTA ZA KUSOMA KWA SHDA.

MKUU WENG WANAOFELI CHUO KIKUU NI VILAZA NA WAZEMBE..
Duuuu mkuu yaana kusup n uzembe hatar sana labda ungesema kudsco mkuu ningekuelewa...maana unakuta uko vizur coursework ya 29/40 lakn unakuja UE chali Una supp....alafu mkuu inategemena na unasoma chuo Gan na course Gan....hivi unategemea MTU anayesoma tourism management sijui au resource sijui nn huko ukamlingamisha na MTU anaesoma let say Bsc.education(Phz & math) tena tuchukulie udsm weeeee!!!! Huu mziki asikwambie mtu mkuu sup nje nje nje yaaan
 
f de solver ANAYESUP AU KUDISCO CHUO KIKUU NI AIDHA MZEMBE AU KILAZA

1. HAKUNA COURSE NGUMU SANA CHUO KWA SABABU UNACHAGUA KOZI KULINGANA NA UWEZO WA KUIMUDU, HVYO UNAVYOSOMEA UDAKTARI useme MASOMO MAGUMU UTASHANGAZA KWA SABABU HAKUNA ALIYEKULAZIMISHA.. UNAVYOSEMA TOURISM NI RAHISI WAKAT HATA YULE ANAYESOMA ENGINEERING AKSOMA TOURISM ANAFELI, UTASHANGAA

ANAYEFELI COURSE ALIYOICHAGUA MWENYEWE NI MZEMBE NA KILAZA KWA SABABU WAPO WANAOMALIZA HZO KOZI BILA KUFELI.

2. KUHUSU CHUO BAHATI MBAYA CALCULATION YA GPA YA UDSM NI RAHISI KULIKO VYUO KAMA SUA NA MZUMBE

MBAYA ZAIDI PASSMARK YA UDSM NI CHINI YA 50, PASSMARK YA MZUMBE NA SUA KWA MFANO NI 50 AND ABOVE

UDSM UNAWEZA KUWA NA SUP 4 NA UKASONGA MBELE KAMA UTAKUWA NA GPA YA 1.8 WAKATI VYUO KAMA MZUMBE NA SUA UKIFELI MASOMO 4 KWA MWAKA MMOJA WA MASOMO AU KWA KULIMBIKIZA 'UNADISCO' BILA KUJALI UNA GPA NGAPI.

ANYWAY, HATUPO KWENYE UBISHANI WA CHUO KWA SABABU KUCHAGUA CHUO AU KOZI NI HIYARI NA WANAOFAULU NI WENGI KULIKO WANAODISCO.
 
Sawa mkuu kila MTU Ana mawazo yake jinsi anavyowaza
 
Duuuu mkuu yaana kusup n uzembe hatar sana labda ungesema kudsco mkuu ningekuelewa...maana unakuta uko vizur coursework ya 29/40 lakn unakuja UE chali Una supp....alafu mkuu inategemena na unasoma chuo Gan na course Gan....hivi unategemea MTU anayesoma tourism management sijui au resource sijui nn huko ukamlingamisha na MTU anaesoma let say Bsc.education(Phz & math) tena tuchukulie udsm weeeee!!!! Huu mziki asikwambie mtu mkuu sup nje nje nje yaaan
Usijipalie kwa chuo,
tena chuo chenyewe udsm;

bora ungenambia UDOM, SUA, MZUME au Muhimbili:

lkn yote kwa yote lazima utambue kua kila mtu na kila chuo/course aliyopo anapitia mengi na magumu: usijedhani magumu hayo unayapitia wewe tu!

Elimu unayoipata, tuione ikitumika kuisaidia FAMILIA na JAMII yako.

Eti chuo chenyewe udsm haaya mkuu...yaan mkuu unaonekana Una chuki na udsm
 
Akafanye kilichomweka buzy hadi aka disco mkuu.
Shule haikuwa her first priority,
Hope atafanya vyema mno akiwekeza her full time kwa kilichomweka buzy hadi akafeli.

Umemuuliza ni kitu gani?
Kudisco chuo haimaanishi mtu hana akili ila zipo sababu zinazoweza kuchangia
1.kozi anayosoma hakuipenda so hana internal drive
2.hali ya kiuchumi
3.matatizo ya kifamilia
4.mahusiano aka mapenzi
5.etc
 
Back
Top Bottom