Habari za jion wakuu?
Naomba kuuliza hivi:-
NI KAMPUNI GANI ZA KU-BET HAPA BONGO ZINARUHUSU KU-deposite NA KU-withdraw PESA KUPITIA EITHER M-PESA,TIGO-PESA AU AIRTEL-MONEY?
MIM HUWA NATUMIA meridianbet SO NAPENDA KUFAHAMU KAMPUN ZINGINE ILI NIWEZE Kuweka NA Kutoa pesa hata huku Minoan...
Wakuu mm n mgen kwenye betting nimesha register account na imekuwa activated meridianbet.co.tz
Ningependa kufahamu:-kama nitabet mechi labda 6 kwa dau la 1000,je,ninahitaj mech ngap nishinde ili kupata pesa
Na inawezekana mtu akashinda mpaka 500,000/- kwa dau labda la 1000/-
Naomba mnisaidie...
Namim nategemea kuagiza home theatre kutoka soko la eBay na wanitumie kwa njia ya posta huku mkoan..Je,
1.Nitaweza kupata ndan ya siku 7?
2.Vip kuhusu gharama za usafirishaj(15kg) estimation?
3.Nipo mkoan,je,jamaa wa posta watanidai kodi?
4.Posta zetu bongo zinapokea mizigo ya mwisho kilogramu...
Standing orders for public service 2009 kipengele H.8-9 kinaeleza kuhusu annually salary increments.
Kimefafanua zaidi kwa kusema salary increment inatakiwa iwepo kila mwaka wa serikali ila hiyo increments itolewa kwa mtumishi kwa kuzingatia "performance appraisal'',kama mwajiri ataridhika nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.