Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

Jamani naombeni msaada kwa yeyote aliyewahi kuagiza kifaa chichote au kitu chochote kutoka China chenye uzito wa 30 kg gharama za usafirishaji zikoje
Gharama ni tentative na inategemea kinatumwa kwa jinsi gani. Kama ni kwa courier unaweza lipa zaidi. Cha kufanya kabla ya kuagiza unapaswa kuomba quotation kutoka kwa supplier kuhusu shipping. Gharama zina vary sana hakuna exact price.

Umeshaagiza kitu unachotaka kuagiza? Je unachoagiza ni mzigo wa aina gani? Na unaagiza kutoka kwa suppliermoja kwa moja au kuna mtu anakusaidia kuagiza akiwa kule?
 
Yes lakini ipo zaidi ya kuueweka kwenye meli ndo maana nikasema zaidi. Mfano thamani ya kitu ni dola 100 sasa kutumia dola 700 kuship ni expensive sana relative to thamani ya hicho kitu.
Namm nataka kujua hapo kg 30 isafilishwe kwa us 700
 
Ndugu hujaelewa. Hapo tushasema kwamba ukitumia courier utalipa zaidi kwa hiyo ni vizuri kama kuna option ya meli utumie ila disadvantage yake ni kwamba itachukua miezi miwili to mitatu mpaka wewe kuupata mzigo wako. The best option ni kuomba anayekuuzia huo mzigo afanye shipping arrangement. Cost itabase na dimension ya huo mzigo.

Unaweza lipa dola 100 to 200. But kumpuka mzigo ukifika Dar andaa hela ya clearing kutokana na thamni ya huo mzigo. Kuna shipping line cost sijajua utalipa kiasi gani, kuna taxes sijui nazo utalipa kiasi gani maana sijui thamani ya huo mzigo.

Angekuwa more open kama anahitaji ushauri maana hajatoa information za kutosha kwa na mimi nashindwa kutoa jibu maana swali lake lipo too general. Aina ya mzigo, nafasi inayochukua, kilom thamani ya mzigo zote hizo ni factors muhimu kujua bei ya shipping.
 
Namim nategemea kuagiza home theatre kutoka soko la eBay na wanitumie kwa njia ya posta huku mkoan..Je,
1.Nitaweza kupata ndan ya siku 7?
2.Vip kuhusu gharama za usafirishaj(15kg) estimation?
3.Nipo mkoan,je,jamaa wa posta watanidai kodi?
4.Posta zetu bongo zinapokea mizigo ya mwisho kilogramu ngap?
N.B..USHAURI KUTOKA KWENU
 
1.Nitaweza kupata ndan ya siku 7?
Njia pekee ya kupata mzigo ndani ya siku saba za kazi (ondoa Jumamosi na Jumapili) na mzigo kuupokelea Posta ni EMS, ila kiuhalisia huwa ni kati ya siku 9 hadi 14
Ghalama ya EMS ni kubwa na zaidi kidogo ya njia ya DHL
Vip kuhusu gharama za usafirishaj(15kg) estimation?
Kwa mzigo wa 15kg , na unataka ukufikie kwa njia ya haraka, Ghalama yake si chini ya 357.54 USD sawa na TSH 783,012.6
3.Nipo mkoan,je,jamaa wa posta watanidai kodi?
Hutegemea wakaguzi wa mizigo pindi uingiapo nchini, Kama ni bidhaa ya kulipia kodi lazima utalipia kodi.
Posta zetu bongo zinapokea mizigo ya mwisho kilogramu ngap?
Nitauliza limit yao ya kupokea mizigo ni kg ngapi?
Ila Kwa wauzaji wengi wa nje kwa mizigo ya chini ya 2kg,hupendelea kutuma kwa njia ya posta, Na hufanya kwa FREE Shipping kwa baadhi ya masoko, ila inapozidi 2kg basi hutumika makampuni kama DHL etl
Namim nategemea kuagiza home theatre kutoka soko la eBay na wanitumie kwa njia ya posta huku mkoan..Je,
Kwa asilimia 98 ya wauzaji wa hizi Home theater huwa hawatumi africa (tanzania) kutokana na ghalama kubwa ya usafirishaji.
Karibu
www.v.ht/buy4me
 
Njia pekee ya kupata mzigo ndani ya siku saba za kazi (ondoa Jumamosi na Jumapili) na mzigo kuupokelea Posta ni EMS, ila kiuhalisia huwa ni kati ya siku 9 hadi 14
Ghalama ya EMS ni kubwa na zaidi kidogo ya njia ya DHL

Kwa mzigo wa 15kg , na unataka ukufikie kwa njia ya haraka, Ghalama yake si chini ya 357.54 USD sawa na TSH 783,012.6

Hutegemea wakaguzi wa mizigo pindi uingiapo nchini, Kama ni bidhaa ya kulipia kodi lazima utalipia kodi.

Nitauliza limit yao ya kupokea mizigo ni kg ngapi?
Ila Kwa wauzaji wengi wa nje kwa mizigo ya chini ya 2kg,hupendelea kutuma kwa njia ya posta, Na hufanya kwa FREE Shipping kwa baadhi ya masoko, ila inapozidi 2kg basi hutumika makampuni kama DHL etl

Kwa asilimia 98 ya wauzaji wa hizi Home theater huwa hawatumi africa (tanzania) kutokana na ghalama kubwa ya usafirishaji.
Karibu
www.v.ht/buy4me
Asante na nmekuelewa sana mkuu
 
Gharama ni tentative na inategemea kinatumwa kwa jinsi gani. Kama ni kwa courier unaweza lipa zaidi. Cha kufanya kabla ya kuagiza unapaswa kuomba quotation kutoka kwa supplier kuhusu shipping. Gharama zina vary sana hakuna exact price. Umeshaagiza kitu unachotaka kuagiza? Je unachoagiza ni mzigo wa aina gani? Na unaagiza kutoka kwa suppliermoja kwa moja au kuna mtu anakusaidia kuagiza akiwa kule?
Nimeona machine ya Ku print alibaba inauzwa bei cheap.dola 115 sasa nimeshawishika kununua ...sasa ndio nikapata kigugumiz kwenye gharama za usafiri na kodi zisije kua kubwa nikapoteza pesa zangu... Cjaagiza bado Ila nafikiria kuagiza..naomba uzoefu..
 
Yes lakini ipo zaidi ya kuueweka kwenye meli ndo maana nikasema zaidi. Mfano thamani ya kitu ni dola 100 sasa kutumia dola 700 kuship ni expensive sana relative to thamani ya hicho kitu.
Duu kweli mkuu hapo nimegonga mwamba maana nilitaka kuagiza heatpress machine ya kuprint T-shirt huku nimeona inauzwa laki name had milioni na sasa nikaona alibaba inauzwa dola115... ..kumbe gharama za usafiri ni kubwa kuliko hiko kitu ninachoagiza bora niache......
 
Ndugu hujaelewa. Hapo tushasema kwamba ukitumia courier utalipa zaidi kwa hiyo ni vizuri kama kuna option ya meli utumie ila disadvantage yake ni kwamba itachukua miezi miwili to mitatu mpaka wewe kuupata mzigo wako. The best option ni kuomba anayekuuzia huo mzigo afanye shipping arrangement. Cost itabase na dimension ya huo mzigo. Unaweza lipa dola 100 to 200. But kumpuka mzigo ukifika Dar andaa hela ya clearing kutokana na thamni ya huo mzigo. Kuna shipping line cost sijajua utalipa kiasi gani, kuna taxes sijui nazo utalipa kiasi gani maana sijui thamani ya huo mzigo. Angekuwa more open kama anahitaji ushauri maana hajatoa information za kutosha kwa na mimi nashindwa kutoa jibu maana swali lake lipo too general. Aina ya mzigo, nafasi inayochukua, kilom thamani ya mzigo zote hizo ni factors muhimu kujua bei ya shipping.
Nataka kuagiza heatpress machine toka alibaba inauzwa dola 115
 
Hiyo dola 115 haijajumuisha na usafiri na kodi bandarini. Gharama zote zikiwekwa zitakuwa kati ya laki sita na milioni. Kama upo serious nitumie meseji PM nitakupa mchakato mzima
 
Wasiliana n javis internationl trade wana ofisi china n tanzania wana safirisha mizigo so inategemea huo mzigo wako n cbm ngapi piga 0769061198 wako jengo la ushirika tower gorofa ya 4
 
Jamani naombeni msaada,

Kwa yeyote aliyewahi kuagiza kifaa chichote au kitu chochote kutoka China chenye uzito wa 30 kg gharama za usafirishaji zikoje?

kusafirisha mzigo kwa meli hawaangalii uzito wa mzigo ila wanaangali ukubwa wa mzigo umechukua eneo la ukubwa kiasi gani ndani ya meli(Cubic Meter-CBM) na CBM 1 ni sawa na dollar 400 kwa meli..kumbuka mpka mzigo wako ufikishe CBM moja basi utakuwa ni mzigo uliochukua eneo kubwa sana..

kuna ndege..ndege wanatuma kwa kupima kilo..na kilo moja ni dola 10..so kilo 30 zako andaa dola 300.

na hii inakuwa ni kila kitu kwa maana kodi na kadhalika..unaenda kuchukua mzigo kwenye ware house zao dar baada ya mzigo kufika.

ndege ni wiki moja tu unakuwa unapata ila meli ni mwezi na nusu..
 
Kodi inategemana na aina ya mzigo na sio mizigo yote inakuwa taxed kwa namna moja. Kwa hiyo hapo kodi bado kwa hiyo dola 300. Huwezi ukaniambia mzigo mfano wa milioni kumi eti ukalipa only dola 300 na kodi inclusive. Kusafirisha ni dola tano tu kumi without tax labda kama ka mzigo ni ka thamani ndogo mfano kama nguo au viatu
 
hiyo mashine kama unanunua nyingi utaona nafuu sana hiyo usd 100.. ila kama unanua moja tu.. hadi ikufikie mkononi utatumia gharama sawa sawa na ukinunua hapa au zaidi ya hiyo..

nakushauri nenda kanunue tu k koo kama zipo
 
Kodi inategemana na aina ya mzigo na sio mizigo yote inakuwa taxed kwa namna moja. Kwa hiyo hapo kodi bado kwa hiyo dola 300. Huwezi ukaniambia mzigo mfano wa milioni kumi eti ukalipa only dola 300 na kodi inclusive. Kusafirisha ni dola tano tu kumi without tax labda kama ka mzigo ni ka thamani ndogo mfano kama nguo au viatu
Mkuu Kama Nikiagiza Educational Materials Kama Pens Na Madaftari Nitatakiwa Kulipakodi ? Maa Nasikia Educational Materials Ni Bure
 
Ndugu hujaelewa. Hapo tushasema kwamba ukitumia courier utalipa zaidi kwa hiyo ni vizuri kama kuna option ya meli utumie ila disadvantage yake ni kwamba itachukua miezi miwili to mitatu mpaka wewe kuupata mzigo wako. The best option ni kuomba anayekuuzia huo mzigo afanye shipping arrangement. Cost itabase na dimension ya huo mzigo. Unaweza lipa dola 100 to 200. But kumpuka mzigo ukifika Dar andaa hela ya clearing kutokana na thamni ya huo mzigo. Kuna shipping line cost sijajua utalipa kiasi gani, kuna taxes sijui nazo utalipa kiasi gani maana sijui thamani ya huo mzigo. Angekuwa more open kama anahitaji ushauri maana hajatoa information za kutosha kwa na mimi nashindwa kutoa jibu maana swali lake lipo too general. Aina ya mzigo, nafasi inayochukua, kilom thamani ya mzigo zote hizo ni factors muhimu kujua bei ya shipping.
Kwani lazima shipping?! ndege hazibebi?!
 
Back
Top Bottom