Recent content by samson nzala

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

    mtu sahihi.... wanaume wote sisi dada hujaona tu!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Faida za Kujitolea Unapotafuta Kazi/Ajira

    aiseee! waajiri wetu sijui wanatatizo gani? mtu naomba nafasi ya kujitolea kufundisha geography and kiswahili tena kwa gharama zangu halafu wananiambia bila hata kuogopa ...eti ungekuwa mwalimu wa physics tungekupokea.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wote wanaosubili ajira za walimu kwa masomo ya sayansi.

    natafuta kazi.ila kama ya kufundisha ipo itakuwa vizuri .masomo ni geography/kiswahili 0713857753
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira na yaliyonipata

    aiseeee hatari sana;wananchi kufurahia ujinga na shida.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wa arts zilizositishwa ni kwa secondary tu au hadi primary??

    walimu wa shule ya msingi hawana arts wala sayansi wao wanafundisha yote.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la walimu wa sanaa waliokua wanaosubiri ajira mpya.

    sasa nasema huu ni ujinga. walimu wote wa arts tufanye namna serikali ituajiri .
  7. S

    JamiiForums Tanzania Haya ni mahaba au ujinga?

    yeah,hayo ndio mapenzi.You know what?katika mwili wa binadamu kuna kamshipa kembamba ambako kanaanzia kwenye unyayo na kuishia kwenye ubongo.Kwa hiyo humfanya mwanamke a concentrate kwenye sex.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage awashauri wanafunzi watakaokosa mikopo kuanzisha viwanda vidogovidogo

    hivyo viwanda...kweli hatuna hata idea of small industries.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    hapo kuna events mbili kuolewa au kutoolewa .kwa hiyo probability ya kuolewa ni 1/2.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mimi black na mke wangu black mtoto kazaliwa na nywele za kiarabu

    ninyi mtakuwa waarabu kwa ndani alafu nje ni black.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

    hapo ungeandika unapiga hatua kumi mbele halafu unarudi nyuma kwa hatua kumi na kadhaa,then unajipongeza.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    nafasi bado ipo .(27 years) usikate tamaa hiyo ni kawaida.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya unga yapaa

    hapo kwenye sembe ndio hatari zaidi ,,sukari wengine hawatumii.sasa wote lazima tutaisoma namba.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sioni kwa sababu kwanini nisimpendelee

    kumbe hilo ndio umbo namba 8..nilikuwa sijui huwa wanamaanisha umbo lipi.
Back
Top Bottom