Kwa wote wanaosubili ajira za walimu kwa masomo ya sayansi.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Habari mwana Jf.

Mimi ni mzima wa afya,

Leo nataka tujadili ajira za walimu ambazo serikali wamezitangaza kwa walimu wa sayansi na hesabu tu.

Tukumbuke kwanza ajira za walimu zilitakiwa kutolewa mwaka jana,lakini serikali waliamua kuzisongeza mbele kwa madai kuwa walikuwa wakifanya uwakiki wa watumshi hewa(sio jambo mbaya)

Baada ya hapo serikali hiyo hiyo walitangaza kuajiri walimu zaidi 70,000 kwa nchi nzima. Lakini ,hepu jaribu kufikiria hii kauli nayo ilipotea kama upepo.

15355581_224330101338417_3140113434131318906_n.jpg


Baada ya hapo tena,serikali ilitangaza tena kuajiri walimu wa sayansi na hesabu nchi nzima. Yani ni tangazo then tangazo then tangazo then.........

Na sisi watanzania kwasababu ni masikini katika familia zetu tulianza kutuma maombi.

Now.......

Waziri mkuu wa tanzania wakati yupo kwao alitamka kuwa serikali wataanza kuajiri madaktari na baada ya hapo watafata walimu (LINI MIMI SIJUI).

SWALI: Kutoka kuhakiki watumshi hewa, Kuajiri walimu 70,000, Kuajiri walimu wa sayansi na hesabu tu mpaka kuanza kuajiri madaktari na baadaye walimu kuna nini hapa?

WITO.....Kuna msemo unasema hivi "mjinga ni mzingo wa kuni mbichi"

HAKUNA AJIRA YOYOTE SERIKALINI TAFUTA CHAKA MAPEMA.

Note: Huu ni mwaka wa kila mtu kubeba msalaba wake.
 
Nasikia wameanza kulialia nje ili wakopeshwe trilion 2.7 ila nasikia pia hawakopesheki.....
Ngoja nao waisome namba... kila mtu kwa wakati wake
 
Masahihisho kidogo,
Serikali iliadhimia kuajiri wafanyakazi wapatao 70,000 katika mwaka wa fedha 2016/2017.Hiyo idadi itajumuisha kada tofauti.
aaaaaaaaaaahhhhh this government
 
juzi juzi tu walisema wataajiri walimu 4000 tu wa sayansi
nb : kazi ipo hawami hii
 
Majangaaa tupu hadi Sasa tumepoteza pesa nyingi kwaajr ya kulipia ada watu zen MTU anakwambia hakuna ajira daah.... Kwakwelii inaumaa.
 
Back
Top Bottom