Haya ni mahaba au ujinga?

Haya ni mahaba au ujinga?

Labda hayo Mahaba yatakuwa huko kwa Wadigo-Tanga...!

Kama inavyosadikika yamezaliwa kwao....!
 
yeah,hayo ndio mapenzi.You know what?katika mwili wa binadamu kuna kamshipa kembamba ambako kanaanzia kwenye unyayo na kuishia kwenye ubongo.Kwa hiyo humfanya mwanamke a concentrate kwenye sex.
 
Hahahaaaa! Hebu mwache mwenzio ndio alipopachagua. [emoji85] [emoji85]
Anaacha kuchagua kwenye main point anachagua kwenye hamna hlf bora basi mguu wenyewe ungekuwa mwororo tungeona sawa.
 
Anaacha kuchagua kwenye main point anachagua kwenye hamna hlf bora basi mguu wenyewe ungekuwa mwororo tungeona sawa.
Mwenzio hajiwezi na hilo guu ndio mana kakubali kufotolewa.
 
Kawaida,mbona me nanyonywa kikwapa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji276] [emoji276]
 
-Nyayo za miguu
-katikati ya vidole vya miguu sehemu ya wazi
-unaweza kukiss, kupitisha ulimi au kumtekenya kwa mikono.
Lakini sio kunyonya dole gumba[emoji777]
Mi nimezungumzia tu kama moja ya maeneo yenye stimu na usafi.
 
Jiguu kama la Zombie ![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom