Recent content by samrem

  1. S

    Dollar sasa yafika Tsh 2,300/=. Tuendelee kuisoma namba

    Hehehehe...dah umeuwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. S

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Dah....maduu mnafake vitu vingi sana kwanzia muonekano mpaka masuala ya kubanduana. Mnatuchanganya mno...im totally confused.
  3. S

    Baba mwenye nyumba kutembea na beki tatu ni haki yake

    Aisee...kuna baadhi ya ma h/g wanakuja wamechoka shingo zimewatoka kisha wakikaa muda wa miezi miwili dah...body linaachia...msambwanda unakubali. Inaumaa ukisikia kuna msela unakula...ni kama una hisa pale...umehusika katika kuongoze value. Baba inabidi atleast afungulie kwanza kabla mijitu...
  4. S

    Nauza iPad Air 2 32GB

    Picha jombaaa.....wengine sie thomaso
  5. S

    Kila nikikumbuka hasira zinanipanda. Mchepuko umenidhulumu Sh milioni 3

    Hapo unabidi ukumbushie game ili upooze maumivu...
  6. S

    Kama ndio hivi nchi ya Tanzania haitofika popote.

    Magu ana kazi sana....wabongo ukiziba huku wanatokea kuleee...dah!
  7. S

    Jamani jezi za mpira wa Netball zina maadili?

    http://media.gettyimages.com/photos/caitlin-thwaites-of-the-diamonds-catches-the-ball-during-the-2015-picture-id483291656
  8. S

    Huu ni uchizi au vipi?

    JF katika ubora wake.....stress free zone. Mshkaji umeuaaaaaaaa...kofuli kuvaa kichwani kama cowboy mzeiyaa inaongeza mzuka..kweli hii dunia tunatofautiana.
  9. S

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Degree lazima ziheshimiwe....prof big up. Hizi elimu za kuunga unga zinatusumbua sana makazini. Mijitu iliyopitia elimu za kuunga ni tatizo kubwa....ndio wabishi wa mabadiliko. Kwanza umri unakua umeenda sana. Natupa jiwe gizani wakuu...samahani kama nimekugusa.
  10. S

    Hii ni Chura au Ugonjwa??

    Duuuh.....haponi mtu hapo shehe
  11. S

    Dada anayetangaza pamoja na Sami Missago kwenye enewz ya eatv ni shida

    Hahahaha....inyeee maradhi yetu. Aliyetuloga kesha oza siku mingi...mzizi huu ni irreversible.
  12. S

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Single source procurement limit ni Mil 300. Hiyo pesa itaingizwa direct Msd na order itaandikwa na kusainiwa na proper singnatories wawili then kusubiri Msd wadelive mzigo. Hamna quotations hapo Untill Msd wadeclare out of stock hizo commodities.
  13. S

    Lowassa: Kwa siku 100 nitafanya mambo 13

    Zile M 50 kila kujiji za JPM alishatuambia zinatoka wapi?
Back
Top Bottom