Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Bwana Yesu asifiwe!
Napenda kutoa maoni au angalizo, jezi zinazotumika ktk mpira wa wanawake wa Netball ni kweli zina maadili?
Je, mchezo huo unastaili kuchezwa hadharani na kutazamwa na watu wote wakiwemo wanaume na watoto?
Je, kwa wewe baba/mume unaweza kumruhusu mke wako kucheza mchezo huo kwa kuvaa jezi zinazotumika sasa?
Je, mchezo huo kutazamwa na watu wa jinsia zote c kichocheo cha kuongeza zinaa ikiwa maumbile yao kuonekana km Hips n.k.?
Na je, kuvaa jezi hizo si kujidhalilisha ikiwa wengine wanaocheza mchezo huo ni wazazi?
Je, kama wanaweza kuvaa vile na kutazamwa na watu wote. Je, si wanaweza kuendelea kuvaa tuu ivoivo hata wakiwa nyumbani mwao au mitaani kama zina maadili.
[emoji432][emoji432][emoji432]Mimi nikiwa kama Mchungaji ningependa kuishauri Wizara husika kujaribu kuangalia Jezi zingine zitakazofaa ili kulinda maadili ya maumbile yao.[emoji425][emoji425][emoji425]
NAWASILISHA.
By Mchungaji.