mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Hayo mapenzi au biashara? Kama mwenza wako hana hamu ipandishe.... Ndo uanaume huo.Mngekuwa hamuwezi kila siku basi na msiwe mnaomba pesa kila siku. Tatizo lenu mnataka kula ila msiliwe.
Yani nikahangaike wee nikuhonge, na bado unipangie ratiba ya kunipa?
Shwain!
