Recent content by Samrati

  1. S

    JamiiForums Tanzania Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

    eti nasikia imevuja sasa sijui kiaje.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    mmnh,ya ukweli haya?dai alimfanyia fitina kingkiba? mi naomba unitumie picha za show ikifanyika kakaangu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    hata mimi nasubiri picha tuhapa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

    nyimbo ya zamani sana hio.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unadai huli Kitimoto lakini Sausage unakula

    Mnh.,makubwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Members wakongwe ambao hawajapigwa ban tukutane huku

    jukwaa la Celebrities lina BAN nyingi sana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Jangala kugombea urais wa Tanzania

    kwanza nahisi anaugua.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Fid q yupo ndani ya studio kwenye taarifa ya habari ya citizentv

    ni CITIZEN Nipashe mkuu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Diamond

    Tumekuelewa na tunaufanyia kazi ushauri wako.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Uhamiaji sio jeshi ni IDARA,Polisi au afisa wa Magereza haruhusiwi kupiga saluti kwa afisa wa uhamiaji. Tuna majeshi manne tu Tanzania nayo ni;POLISI,MAGEREZA,JWTZ na JKT,huruhisiwi kupiga salute kwa afisa wa UHAMIAJI kwa maana sio jeshi bali ni IDARA MeinKempf
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wema acha roho mbaya

    Vipi zile million 13alizozitoa wakati ule umezisahau?ungekuwa wewe ungeweza?mwacheni jamani Wema apumzike,mwacheni afanye anavyoweza.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Aslay: Nitakupwelepweta hajaimbiwa Wema Sepetu

    Tulishajua kitambo.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tujadili sababu za kuchuja kwa Video 2 za Diamond

    Labda hizo nyimbo zimechuja huko nyumbani kwenu,ila huku kwetu bado zinakimbiza mbaya na ndio kwanza zinaanza kudownloadiwa na kupigwa sehemu mbalimbali.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

    Hapo sasa,Nagari mwenyewe ngachooka,mi sina imani kama wema anaeza date na kombo,wenge tu la kistuli.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

    Nilidhani ni picha tu kati ya Nagari Kombo na Wema,kumbe kuna something going on!!!!sitaki kuamini hili,Wema hawezi banah kua na Nagari sema Linah tu ana mawenge yake yule dada.
Back
Top Bottom