Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Hili toto hili sijui hata lilizaliwa wapi?
huyo hakuchinjiwa Mbuzi wa Hakika ndio maana yupo hivyo...
Hili toto hili sijui hata lilizaliwa wapi?
Katika gazeti la leo la Mwanaspoti 29/05 huyu Wema ametoa kauli za ajabu kabisa kuhusu Kajala.
Anasema hatokaa kumsamehe katika maisha yake yote na hata akifa Kajala asisogelee kaburi lake.
Jamani sasa huyu mama roho mbaya anapoelekea anahitaji kusaidiwa na wataalam wa masuala ya jamii/mahusiano.
Unakuwaje na hatred mbaya namna hii kwa binadamu mwenzako...!!?? Ugomvi wenyewe ni wa kuporana mwanaume ambaye ni MUME wa mtu.
Msaidini huyu Wema jamani na nafikiri sasa asiitwe tena hilo jina lake la Wema awe anaitwa CHUKI.