Mzee Jangala kugombea urais wa Tanzania

Mzee Jangala kugombea urais wa Tanzania

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
Finally cheo cha urais kitampata mtu sahihi na ninadeclare kwamba niko kwenye Team mzee Jangala katika harakati hizi. Najua wengi wataleta dharau zao lakini hao wanaojiita wasomi wameifanyia nini nchi zaidi ya kuibaka kwa miaka zaidi ya 50?

Nanukuu alichosema rais mtarajiwa mzee Jangala,

Pia, aliwataka wananchi kuachana na fikra kuwa mwaka huu nchi hii kiongozi anatakiwa kuwa kijana. Hata wazee wana uwezo, kinachohitajika ni sifa na hekima.

"Urais hauna kijana wala mzee kinachohitajika ni, je, una sifa na uzalendo kutoka moyoni? Sitaki ubunge, nia yangu ni kuwasaidia Watanzania endapo nikapata ridhaa ya kuongoza nchi kupitia nafasi ya urais," alisema Mzee Jangala ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Muda Mrefu Katika Fani.

Soon utajua atagombea kupitia chama gani.

Adios.
 
Nikiwa kama mdau wa team mzee jangala naombeni sapoti yenu ili mzalendo huyu aweze kuingia magogoni na kuwakomboa watanzania

Finally cheo cha urais kitampata mtu sahihi na ninadeclare kwamba niko kwenye Team mzee Jangala katika harakati hizi. Najua wengi wataleta dharau zao lakini hao wanaojiita wasomi wameifanyia nini nchi zaidi ya kuibaka kwa miaka zaidi ya 50?

Nanukuu alichosema rais mtarajiwa mzee Jangala,

Pia, aliwataka wananchi kuachana na fikra kuwa mwaka huu nchi hii kiongozi anatakiwa kuwa kijana. Hata wazee wana uwezo, kinachohitajika ni sifa na hekima.

"Urais hauna kijana wala mzee kinachohitajika ni, je, una sifa na uzalendo kutoka moyoni? Sitaki ubunge, nia yangu ni kuwasaidia Watanzania endapo nikapata ridhaa ya kuongoza nchi kupitia nafasi ya urais," alisema Mzee Jangala ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Muda Mrefu Katika Fani.

Soon utajua atagombea kupitia chama gani.

Adios.

Ana Degree ya nini huyu mzee? Kigezo mojawapo lazima uwe na degree.
 
Hiyo pesa ya form ataipata wapi? Si ndio hawahawa huwa wanalia wakishaanza kuugua?
 
Lawama ziende kwa JK kwa kushusha "presidential status"

Soon tutaskia na muhogo mchungu au pembe nao wana tangaza nia (sijadharau mtu hapa).
 
Mama weeee! Nilikua sijasoma mleta thread ni nani, kumbe ni maatope? Basi nishaingia aibu mimi!...looh
 
Last edited by a moderator:
duh uyo mzee tangu utoo tumemuimba mpaka leo duh..
 
Hhhhhhaaaa hatutaki raisi maskini banaaaa
 
embu fungueni jicho lenu la tatu enyi wadanganyika na mjitahidi kuendana na kasi ya ubongo wangu,maana IQ yangu ni kubwa mpaka nahisi ni big fish kwenye small pond nikiona comments zenu
tunahitaji Rais mzalendo kama mzee Jangala
 
JK kauganya u Rais umekuwa simple sana
 
Back
Top Bottom