Recent content by Samora snr

  1. S

    Pamoja na Unaosemwa Udikteta wa Magufuli Kipanya hakuwahi kutishwa

    Tuna subiria utekelezwaji wa Sheria mpya ya habari haswa kile kipengere cha elimu kwa watu wenye elimu chini ya Degree
  2. S

    Naomba kufahamu kesi alizowahi kushinda Adv. Kibatala

    Unacho takiwa kujua siku mmoja chadema wata chukua nchi waziri wa Sheria na katiba atakuwa Pater Kibatala na Mwqna sheria mkuu Wa serikali atakuwa fatuma karume
  3. S

    Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Haya majibu wa nayo wakazi wa Kimara,Walio ajiliwa na vyeti vya darasa la saba,wafanya kwzi wa umma ambao wana jua maana ya madaraja
  4. S

    Waume zetu msiache kufanya mapenzi na sisi tukiwa wajawazito

    Kuna jamaa yangu alikutana na single mother mmoja akiwa na ujauzito wa miezi tisa, akaanza naye story za kutaka kumega piga piga story demu aka sema hajagongwa muda mrefu jamaa aka bembelezaaa wewe aka kubaliwa, wakaenda hotel jamaa akala mzigoo mara maji maji haya wakaenda hospital single...
  5. S

    Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Kuna mshikaji wangu yuko kwenye hatua za mwisho kutaka kununua gari kwa uzi huu asije hailisha
  6. S

    Utumishi mjiongeze kwa hili kwa suala la usaili kufanyika Dodoma pekee

    Unaweza kukuta kufika sehemu inako fanyikia interview nayo ni sehemu ya interview
  7. S

    Samaki Samaki na "Reserved tables"…

    Mwambie kiongozi bila shaka ana CHRISTMAS chache hapa town.
  8. S

    Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

    Poleni sana wadogo zangu wa CBE,DIT na IFM hao wauza mihogo,chips na mama ntilie walikuwa wana saidia sana kupunguza Ugumu wa maisha
  9. S

    Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

    Naona dada wa Taifa leo campost
  10. S

    Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

    Jamaa Fundi sana jukwaani ana jua sana kucheza na ulimi
  11. S

    January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Poleni sana Sukuma Geng mpaks sasa nawaza hivi Mheshimiwa Makamba ange ikuta hiyo wizara ikiwa Nishati ns Madini huo wivu mlio nao sasa inge kuwa mala 100
  12. S

    Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Unaye andika haya usha wahi kutafakari RISK walizo nazo fanyakazi wa Tanesco kwa Aina ya kazi zao? Acheni roho za kimasikini kila mfanyakazi ana bonus yake sehemu ya kazi. Sehemu nyingi za kazi wafanyakazi wana pewa BONUS ,TBL wana pewa bia kila mwisho wa Mwezi,Sigara wana pewa sigara kamo...
  13. S

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Wadau dirisha la mwisho la kuomba vyuo lina anza na kumalizika lini?
  14. S

    Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

    Uki kutana na Msichana anaye smoke weed wako vizuri mno kwenye Sex then sio waongo wa ongo.Achana na wale wanao smoke kwajili ya matatizo au maisha yame wapiga.
  15. S

    Tengeneza dawa ya nguvu za kiume nyumbani kwako

    Mkuu huu mchanganyiko una weza usaga kwa wingi then uka weka kwenye jokofu na kutumia kila unapo hitaji ?au ni vizuri ukawa una tengeneza kwajili ya matumizi ya wakati huo huo
Back
Top Bottom