Huyu binti hakuandaliwa ama kimaadili ya kumuogopa Mungu, au kupewa majukumu ya kufanya nyumbani-baada ya kutoka shule. Kama kijana anajua akitoka shule anaosha vyombo, anapika,alafu anafanya home work. Akiendelea na tabia ya kuwa bize hatakua muda mchafu kama hivyo. Alafu-- kwani msichana wa...
Kabla ya kwenda na kuchukua hatua yeyote-- angalia huyo sister mavazi yake!!! ni mavazi stara--yanayohifadhi na kuficha maumbile yake au anavaa kana kwamba yupo uchi??? UNAVAA KIMINI ALAFU UTEGEMEE LECTURER ATAKUACHA?
Jisitirini dada zangu, mtaepuka majaribu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.