Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,306
- 1,993
Labda remoteJamani naweza kupata Tv ya kichogo humu?
Dau langu ni Tsh elfu kumi tu.(10,000/=)
Labda remoteJamani naweza kupata Tv ya kichogo humu?
Dau langu ni Tsh elfu kumi tu.(10,000/=)
Nahitaji kioo cha TCL 32" LED, bei ikoje?FUNDI FLAT TV DAR
Kama flat tv yako ina changamoto imeharibika au haifanyi kazi (mbovu)
Karibu tukumalizie tatizo lako mara moja
Tatizo lolote la tv tunasolve..
Ofisi ipo ilala karume.
NB: KWA WALIOVUNJIKIWA VIOO VIMEKUA ADIM SANA.. NA CHANGAMOTO NI BEI..
Pia nanunua tv mbovu zilizoshindikana kama spea
Call/WhatsApp 0713799522View attachment 1778111View attachment 1778112View attachment 1778113View attachment 1778114
Samsung 32inch 350,000Nahitaji smart TV Used inchi 32 " weka bei na picha. Then nitag
LG 49" Smart TV ni shilingi ngapi?Alieko arusha na anashida ya tv yoyote anijuze nitampatia kwa bei nzuri sana.
Ata rimoti yenyewe hapati labda betri zake.Labda remote
Zipo kuanzia elfu 65Jamani naweza kupata Tv ya kichogo humu?
Dau langu ni Tsh elfu kumi tu.(10,000/=)
Niuzie multimeter hiyoFUNDI FLAT TV DAR
Kama flat tv yako ina changamoto imeharibika au haifanyi kazi (mbovu)
Karibu tukumalizie tatizo lako mara moja
Tatizo lolote la tv tunasolve..
Ofisi ipo ilala karume.
NB: KWA WALIOVUNJIKIWA VIOO VIMEKUA ADIM SANA.. NA CHANGAMOTO NI BEI..
Pia nanunua tv mbovu zilizoshindikana kama spea
Call/WhatsApp 0713799522View attachment 1778111View attachment 1778112View attachment 1778113View attachment 1778114
Jipatie TV ya ndoto yako.
Taja bei uliyonayo nikutafutie.
Walioko Dar watanufaika Zaidi.
(Dalali)
Nahitaji tv iwe inchi 32 ikiwa Samsung ama Sharp itakuwa bora zaidiJipatie TV ya ndoto yako.
Taja bei uliyonayo nikutafutie.
Walioko Dar watanufaika Zaidi.
(Dalali)
Hivi Mkuu wateja wa jumla wana bei zao tofauti na wa reja reja ?
ndio mkuu, kama unataka nyingi nifate private, 0777650286/0718919725Hivi Mkuu wateja wa jumla wana bei zao tofauti na wa reja reja ?
Asante Boss, mali kauli unatoa pia boss .samahan kwa swali hili.ndio mkuu, kama unataka nyingi nifate private, 0777650286/0718919725
hahahha hapana mkuuAsante Boss, mali kauli unatoa pia boss .samahan kwa swali hili.
Sawa boss ,nitakutafuta , ngoja niweke mambo sawa kwanza.hahahha hapana mkuu