Wakati Jose Mourinho analalamika kapewa pesa kiduchu Pound Milion 300 za usajili ... wao tayari wana Tshs Bilion 5 za kuwanunua watu...??? ... Wananunua watu kama timu za mpira ? Mzigo wa usajili wanao utadhani Real Madrid..au kama vipi si waende Libya wakanunue kabisa..!!!!
TOA TAARIFA HARAKA SANA TENA SANA MARA MOJA KWA "RC" YUPO SHAP SANA KAMA UPO DAR ..ILA KAMA UPO NJE YA DAR UTAJUA MWENYEWE....DAR TUNA KAMA KAMANDA WETU WA KILA KITU MZALENDO DAMU..ANAUPENDA MKOA WAKE KULIKO ...KAMA CHAKULA...
JAMANI WACHENI WIVU HUO ...HIYO MELI IMELIPIWA NA NGOSHA KILA KITU ..YAANI NYIE WACHENI TUU...BASHITE MWENYEWE KAENDA KWA BALOZI ,NA BALOZI AKAONGEA NA NDUGU ZAKE KUWA MELI IJE HAPA WATU WATIBIWE BURE..SI MMEMSIKIA BASHITE ANALIVYO NA USHAHIDI TOSHA KUWA TUMELIPIWA KILA KITU..SASA NYIE...
Baba yako wakati anamchumbia mama yako na mpaka wewe ukapatikana ,kama angelikuwa anasikiliza maneno kama yako,unayosema dhidi ya Ben Pol ,wewe ungelikuwepo sasa hapa na kuandika upuuzi huu!!? Nenda zako uzuri na ubaya anaujua mama yako
Timu ya soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya ina matawi zaidi ya 400.
Katika matawi yote hayo hakuna hata moja lililopewa jina la Rais Uhuru Kenyatta, ila juzi wamezindua tawi jipya na kuliita tawi la Magufuli.
Waliopinga Wanyama asipewe mtaa walisema si uzalendo, Je Gor Mahia nao si wazalendo kwa...
Acha utoto wewe !! Kubwa zima kama toy.. kila saa unaona utani tuu kwani lazima u comment? utakuta mijitu kama wewe bado unakaa ukweni tuu au kwenu bado tuu
Kwa njia hizi inamaanisha, unafundishwa namna ya kuyafurahia maisha kwa kiwango chake cha juu. Kwa kufuata hizo kanuni tatu za upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli, wakati huohuo ukijitambua na kuanza kujiandaa na kutokwepeka kwa kifo,” anaandika Chande.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.