Pata viwanja vilivopimwa Ruvu kwa garama ya laki 5 tu

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
1,825
2,000
Kichwa cha habari kinahusu sisi [URL="http://www.one2onefocus.com]www.one2onefocus[/URL] tunauza viwanja vya garama nafuu kwa mtanzania wa hali ya chini aweze kumiliki Arithi
Viwanja vipi Ruvu ya kibaha karibu kabisa na Bandari kavu
Viwanja vipo vya biashara na makazi
Garama ya viwanja vya biashara ni laki nane tu na garama ya viwanja vya makazi ni laki 5 tu
Ukubwa wa kiwanja ni 40*20
Viwanja vimepimwa sisi kama kampuni tunashughulika na swala la kuprocess hati na kukabidhi mteja
Kuweza kunufaika na hii fursa utapata kwa kuchukua form kwa garama ya shiling elfu kumi tu
Form zinapatikana katika matawi yetu yote ya Dar es salaam pale Makumbusho complex gorofa ya pili, Mwanza tupo Buzuruga Plaza floor ya pili
Na Arusha tunapatikana Namvua Plaza
Waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 kwa Maelezo zaidi au kama utaendelea nikuadd kwenye group letu la WhatsApp la viwanja karibuni sana
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837

Mmeshaacha Kuua Watu na kuwatupa Mto Ruvu ili tutiririke na tuserereke kuja kuvinunua hivyo Viwanja Mkuu?
 
akidai

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
249
225

Ukichukua fomu halafu inakuwaje,mmh, anzisha ofisi mojakwamoja kwenye sait hati baada ya mda gani au za kimila
 
pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
1,825
2,000
Ukichukua fomu halafu inakuwaje,mmh, anzisha ofisi mojakwamoja kwenye sait hati baada ya mda gani au za kimila
Ofisi tunayo tupo Makumbusho complex floor ya pili hati ni ya serikalin sio ya kimila as viko suveryed mteja akishalipia ni jukumu letu kuprocess hati yake na kumkabidhi kama sehemu ya mikataba yetu
 
tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
833
1,000
umbali gani kutoka barabara kuu jee umeme maji na huduma nyingine za jamii zipo?
 
SAMBUKILE

Member
Jun 20, 2012
50
125
Mmeshaacha Kuua Watu na kuwatupa Mto Ruvu ili tutiririke na tuserereke kuja kuvinunua hivyo Viwanja Mkuu?
Acha utoto wewe !! Kubwa zima kama toy.. kila saa unaona utani tuu kwani lazima u comment? utakuta mijitu kama wewe bado unakaa ukweni tuu au kwenu bado tuu
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Acha utoto wewe !! Kubwa zima kama toy.. kila saa unaona utani tuu kwani lazima u comment? utakuta mijitu kama wewe bado unakaa ukweni tuu au kwenu bado tuu
Nikikaa Ukweni jua Baba Mkwe karidhika na jinsi ninavyombandua Bintiye. Sasa hutaki nikae Kwetu Mkuu unataka nikakae kwa Shangazi zako Mbwinde?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom