Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

hiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa

Kama huna huna tuu wewe ,wacha wivu wa kike...!!
 
Soma kwa makini utajua ni nini... Usikariri tu kuwa "most" ni superative adj!!! Mbona maelezo yanajitosheleza..... Kuna shule ni most expensive kiwilaya pia kuna shule ni most expnsv kimkoa pia kuna shule ni exnsv ktfa
Sijakariri, ndo kanuni za lugha ya wenzetu, kutokana na kichwa cha habari! Turudi kwenye mada: una ushauri gani kwa serikali yetu pendwa na raia wake?
 
hiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
Kweli kabisa, na mifano tunayo mitaani, hakuna ubishi na unayosema, wengi wakitoka hapo ni king'eng'e cha kina Chris Brown, lakini akili za maisha hakuna, hawajuwi kupika, kufanya usafi wa kila aina na hata basic 1st Aid (Sayansi Kimu)...
Tukiongea kwamba tumesikia wakipasuwa mno vyuoni au huko nje waendapo baadaye hakuna! Ndipo tunaposhangaa, kumbe king'eng'e peke yake siyo sababu ya mtoto kupasuwa darasani!
Shule ziko overated, bei overpriced na Target yake haifiki hata asilimia 1 ya watoto TZ...
Tusubiri tuone kama bado wanapata wateja hasa wakibongo na vyuma hivi vilivyokaza..
Expatriates na wafanyakazi wa kigeni ndipo wanapoppeleka watoto wao, itakuwa vyema iwe kwa mishahara wanayolipwa na UN au makampuni ambayo hayakwapuwi hela hapa...
 
Back
Top Bottom