Recent content by Sambidundahk

  1. S

    JamiiForums Tanzania Amber Lulu aponda muonekano wa Ommy Dimpoz

    Muachie ngoswe jombaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakimbia kivuli chao?!

    Ingawa hata ccm Wanaboronga ila chadema ya kipindi hiki ndo hata siielewi kabisa. Hawana hoja kabisa kazi kudandia dandia hoja na matusi. Sitapiga kula tena katika maisha yangu kwani nilikua nawaamini upinzani ila nimeumbuka. Over!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kyela Mbeya: Tangu mwaka 2014, William Fulton mmiliki wa kituo cha mango tree amezuiliwa kuingia nchini Tanzania

    Hapana. Ni mzee flani alikua mlezi wa hicho kituo cha the mango tree naye ànaitwa mwambalaswa. Wanakyela wanamfaham sana
  4. S

  5. S

  6. S

    JamiiForums Tanzania Kyela Mbeya: Tangu mwaka 2014, William Fulton mmiliki wa kituo cha mango tree amezuiliwa kuingia nchini Tanzania

    Sanahani wanakyela. Mbona humu ndani sioni jina la mkurugenzi mtendaji wa The mango tree bwana mwambalaswa? Au yeye hahusiki ? Ndaga va malafyale.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

    Mleta mada naona unaelezea kuhusu Bantu na nairots(masai, mang'ati ) . vipi kuhusu wairaque(wamburu), wambugwe, warangi, wasandawe?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Upinzani Kanjanja

    Niliwahi kuwakubali sana hao wapinzani huko nyuma. Ila kwa sasa nimekata tamaa kabisa. Hawaeleweki kabisa hojazao zinataka nini. Wakishauliwa wanatoa matusi. Sijui wamepatwa na nini hawa jamaa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Nao wanakera pia
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, kifo cha CHADEMA kitakuwa neema kwa chama gani cha upinzani?

    Kama wewe ambavyo hujitambui. Ni mjinga pia Over!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe/Ukawa waache uoga, warudishe kampeni ya UKUTA

    Hata mreta mada mwenyewe ninauhakika hawezi andamana.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kumuona Mrema kwenye mkutano wa CCM Dodoma

    Hata lowasa, Sumaye, Nyalandu, na mbowe ni CCM. Time will tell
  13. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za CCM zinawavuruga CHADEMA

    Kwakweli ukweli ni mchungu na kila ukitaka kuwaambia ukweli hao nduguzangu (CHADEMA) unaambukia matusi. Lowasa alishasema badilisheni aina ya siasa mnazofanya kwakua zimepitwa na wakati mkamdharau. Mmebaki kurukaruka na kulalamika. 2020 mtapata shida sana.
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na wageni mnaowapokea

    Nashukuru kwa kuliona hili.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Walichokiongea vijana wa CCM Arusha jana nimestaajabu

    Mleta mada amenichekesha sana, Eti hii nchi itaendelea kuwa maskini kisa wameshindwa uchaguzi. Kwa hiyo ili nchi iwe tajiri inatakiwa iongozwe na CHADEMA? Lakini siwezi kushangaa sana maana hata Hashim rugwe 2015 alidai alishinda urais akaibiwa kura
Back
Top Bottom