Walichokiongea vijana wa CCM Arusha jana nimestaajabu

Chadema Hakuna Uchaguzi hata wa Mtaa ambao hawajadai kuibiwa kura!
Wao kila Uchaguzi walishinda lakin kura zao zikaibiwa
Mlikuwa na nia gani kukataza na kukamata Mawakala wa Upinzani wasiingie kwenye vituo vya kuhesabu na kupiga kura?
 
Mlikuwa na nia gani kukataza na kukamata Mawakala wa Upinzani wasiingie kwenye vituo vya kuhesabu na kupiga kura?

Kwanini hamkulinda Kura mita miambili?

Ukamanda wenu upo kwenye kuvunja biskuti kwa Mkono Mmoja sio kulinda kura!
 
Cha ajabu hawa “mbwa “ wa CCM wanafikiri wote wanaowapinga ni CDM. Hapana. Wengi kama mimi tupo independent hatuna affiliation yoyote na CDM. Tunaona mnafanya nini.
You preach development then you kill.
itapasuka bure tu na hasira ila kila ukiamka matokeo ni 42-1 na hata hyo moja inaonekana nyie ndo mmewaibia
 
Kwa kuongelea humu Huku ukiwa na FAKE ID taifa nalo haliwezi fika kokote,just like 1 step ahead and 4 steps back.....Nipo tayari nikudhamini ufanye press conference na mihadhara ya kusimamia hayo unayoyaamini...tena anzia na mkoa wa arusha na mingine utakayoipendekeza...Km upo serious njoo PM
 
Mwarobain ni kujikita katika kulitoa taifa na laana ya damu za wanadamu wasio na hatia maana kifo cha asiye na hatia ni laana kwa taifa lolote na ndio maana ya HAKI HUINUA TAIFA. Tena haki hakika hutaona tukiimba nyimbo za umaskin tanzania.
Bavicha wajanja watupu. Nani alete mabadiliko?
 
Mleta mada amenichekesha sana, Eti hii nchi itaendelea kuwa maskini kisa wameshindwa uchaguzi. Kwa hiyo ili nchi iwe tajiri inatakiwa iongozwe na CHADEMA? Lakini siwezi kushangaa sana maana hata Hashim rugwe 2015 alidai alishinda urais akaibiwa kura
 
Nenda zako!
Mkibanwa kende kwenye Uchaguzi mnakimbilia kichochoro cha 'Mustakabali wa Taifa'
Tanzania kuna uchaguzi au kuna ratiba ya uchaguzi.usifanye watu wote wajinga.Nawewe endelea kuwaza chama ukizani dhuluma na uonevu unaofanyika watu watavumilia milele.
 
Tanzania kuna uchaguzi au kuna ratiba ya uchaguzi.usifanye watu wote wajinga.Nawewe endelea kuwaza chama ukizani dhuluma na uonevu unaofanyika watu watavumilia milele.

Inakuaje ushiriki Uchaguzi huku ukijua sio Huru !
 
Umeongea kwa uchungu sana, Ila watz asilimia karibia 98 tatizo letu tumbo tu, tukishashiba mambo mengine tupa kile! Mfano mzuri ni yule wa magogoni, yeye Kula kulala bure, halafu wenzake anaona wote waviivu hawana hela kisa hawafanyi kazi, wanaolalama wote wapiga deal
Well said
 
Viroba vilikuwa vinatumika kuwahadaa vijana wa arusha...sa hv no viroba...na mtoa uzi mabangi yamemharibu....arusha 2020 inarud CCM jiandae kisaikolojia usje ishia central
Kaka viroba bado vipo kilichobadilishwa ni kifungashio.
 
Taifa haliwezi kupata maendeleo hata siku moja likiwa linanuka damu za wasio na hatia na tutaendelea kuhangaika miaka yote na kubadili marais miaka yote,...

Nchi hii itaendelea kuwa maskin daima hakuna maendeleo yatakayo takiwa kufikiwa yakafikiwa , maana kama taifa halina nia ya dhati kujikomboa kiuchumi bali kila kiongozi ana nia ya dhati kujijenga kisiasa huku uchumi ukiporomoka

Ninauhakika hakuna nia ya dhati yakuibadili nchi hii zaid ya kujijenga kisiasa na kutafuta umaarufu kwa lazima kwa sababu hakuna haki ndani yake zaid ya ukatili na unyama ,roho mbaya umwagaji damu , kuna uongo ndani yake
...
Kkimondoa, bandiko lako limejaa lawama tu. Una ushauri gani na wewe umechukua hatua gani za dhati yakuibadili nchi hii zaid ya kujijenga kisiasa na kutafuta umaarufu kwa lazima.., kwa maneno yako.

TUPUNGUZE JAZIBA NA KUACHANA NA LAWAMA KANA KWAMBA KUNA MTU MWENYE JUKUMU LA KUTULETEA NEEMA NA SIYO KILA MMOJA WETU.

UMOJA NI NGUVU
 
Back
Top Bottom