mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
- Thread starter
- #21
Binadamu wa kwanza alitokea kwenye jamii ya nyani.Huyo binaadamu wa kwanza alitokea kutoka wapi?? alizuka au?? je alikua rangi gani?? na kama sote tumetokea Nigeria na Cameroon vipi huyo wa kwanza atoke Olduvai??
Ila ukitaka kujua kiini kabisa maisha yote duniani kuanzia mimea na wanyama wote duniani.
Baba yetu ni mmoja na hao baba zetu ni bacteria walioishi chini ya bahari miaka billion kadhaa iliyopita.
Common descent - Wikipedia