Hizi ndizo siasa nyepesi nyepesi wanazofanya CHADEMA za kudai eti kuna watu wanalazimishwa kuipenda CCM.
Bila kujitathmini wataendelea kuleta siasa nyepesi nyepesi ambazo baada ya uchaguzi wanaanza kudai tatizo ni tume ya uchaguzi!
Mh!! Kwa mjinga nanmtu asiye enda shule ndio anayeweza kudanganywa na siass zenu za chuki, CCM siasa zimewashinda kilicho baki kwenu ni vitisho na visa ili mradi tu watu wawapende , mfano mdogo tu. Wema alipo kuwa chadema mimsakama hadi bidhaa zake kama mafuta yake yakapigwa stop kuuzwa kwa kigezo kwamba hazifai kwa matumizi wakati huo alipo kuwa CCM alikuwa aliziuza bila shida yeyote na sasa karudi CCM mauzo yameendelea hahahaaa mnaroho ya chuki sana hakuna mwenye akili asiye jua ,
Upinzani ndio hao kutwa kucha hawaishi kutishiwa na kufuatiliwa mara wakamatwe mara watekwe wengine wanauawa, mara wapotee mazima mara wakumbwe na hiki mara kile shida tupu visa haviishi sababu kila siku,
wengine ndio hao mnawanyang'anya ,mashamba yao kisa wapo upinzan wakati wakiwa ccm hamkuwagusa, wakati huo kuna majizi yamejazana ccm mengi tu tena yaliyo kubuhu na kashfa za wizi na ufisadi kibao lakin kwa vile wapo ccm hawaonekan wakiingia upinzan tu utasikia visa vinaanza kama mlivyo vianzisha kwa nyalandu wakati kuna kina maghembe kangasheki ,ngeleja na wengine wengi sana nao wanakashfa lukuki ndani ya CCM mmezifukia mnaziona za nyalandu kisa tu kahamia upinzani
Kina sumaye kila siku mali zao na mashamba wananyang'anywa kisa wapo upinzani visa na sababu haziishi wakati kuna vigogo wapo CCM wamejimilikisha vijiji vizima na wameacha yamekuwa mapori tuu na hawaguswi wala kusumbuliwa na mtu,
Kwa staili hiyo na karaha hizo hata ningekuwa mimi ili nisibugudhiwe na niwe na amani ya maisha ya dunia hii ndani ya nchi hii bora nibaki mwana CCM tu huko ntakuwa salama na ndio maana WEMA alikiri mwenyewe kwamba naishi bila amani kabisa bora nirudi CCM ,alikuwa anasakamwa kwa kila jambo. mara nyumba yao ivamiwe yaan ilikuwa kama anatafutwa maisha , yanini kuish kwa mashaka!?
CCM mnaroho mbaya ya chuki na visasi na wala si kwamba mnapendwa , watu wapo CCM kwa sababu moja tu SALAMA YAO YA MAISHA basi, kinyume na hapo ccm asinge baki mwenye akili hata mmoja ila visa vya ccm, unyama wa ccm vitisho na mengine mengi ndiyo yanayo ifanya ccm iwe hapo ilipo kwa hisani kubwa ya JESHI LA POLISI.