Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Niliwahi kuambiwa kwamba CCM wana mbinu nyingi sana za kuhakikisha wanabaki madarakani na nikaambiwa bado hawajazitumia zote.
Binafsi siamini sana kama watu wote wanaotoka chama kimoja na kuhamia chama kingine huwa na nia nzuri, naamini wengine hufanya hivi ili kutafuta taarifa muhimu ambazo zinaweza kutumiwa na chama hasimu kuhafifisha chama.
Nivema CHADEMA wasiwashirikishe wageni katika mambo ya ndani sana mpaka wajiridhishe kwa kujua lengo la ujio wao.
Nimesema CHADEMA maana ndiyo chama kikuu cha upinzani ambacho hivi karibuni(2015 nakuendelea) kimepokea wimbi la wahamiaji toka chama tawala na vyama vingine.
Nivema wadukuzi wa chama wawe macho maana 2020 inakaribia vinginevyo watapoteza majimbo mengi sana.
Over