Mbowe/Ukawa waache uoga, warudishe kampeni ya UKUTA

Keyboard Warrior

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
989
1,000
Sio siri hali yakisiasa nchini ni mbaya, na huku tuelekeako bado kuna kiza kinene... Uonevu kutoka kwa serikali/chama tawala umekithiri na kufanya wananchi wasiwe na amani. Kiukweli they aren't playing fair.

Unajua mtu anapokuonea halafu ukikaa kimya au kujidai unatumia busara kumsihii aache halafu haachi, lazima utumie njia mbadala ili kujilinda lasivyo utaonewa mpaka basi na kukudharau akihisi huwezi kumfanya chochote.

Tumeshuhudia wanasiasa na wananchi kufunguliwa kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu kisa tu wameikosoa serikali, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe, tumeshuhudia wananchi wakipigwa na kukamatwa kwenye uchaguzi ulioisha tu hivi karibuni wakijaribu kutetea haki yao.

Ni muda wa kusema ENOUGH IS ENOUGH na kuitisha maandamano ya nchi nzima. Wapo watakaosema "ooh sijui watu wataumizwa na polisi au vikundi vya usalama, kwa hiyo tunaogopa kuhatarisha maisha ya watu..." lakini that is a price we know we have to pay kuikomboa nchi yetu... Unafikiri watu walivojitokeza kwenye uchaguzi mdogo ulioisha walikuwa hawajui kama vurugu zinaweza zikatokea na kisha kukamatwa au kupigwa na polisi au vikundi vya wafuasi wa chama tawala...La hasha walijua hayo lakini walikuwa tayari kujirisk na kutokea kwa wingi ili watetee demokrasia kupitia sanduku la kura. Hata kina Nyerere waliandamana sana tu wakati wanatafuta uhuru toka kwa wakoloni.

Kwahiyo UKAWA wasiogope, wananchi wako tayari kuandamana, lasivyo tutaonekana waoga kwamba tukitishiwa kidogo tu tunaufyata, ni muda wakuionesha serikali/chama tawala where the real POWER resides, nayo ni with the people.
 
Sema Sasa

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
652
1,000
Wazee wa kuandika, hebu vaa misuko suko waliyopata Lisu, Lema, Mbowe, Mdee, Lijua , Susan, mawazo, saa8, wanachama na viongozi wa chini mikoani kila siku wanauzuria kesi mahakamani hata muda wa kufanya kazi zao umepungua.

Sasa tisubiri uma utaamua tu, kwani Tunisia ilikuwaje
 
idaz

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
1,031
2,000
What you said is right,but can mbowe wear Besigye's shoes?....harassment of uttermost!
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,313
2,000
Pambaneni Mitaani sio kwny Mitandao ya Kijamii!

Sultan Seif Sharif mpaka kukaa kwny Meza ya Mazungmzo na Watawala kuna Watu walivunjwa Viungo, wengine walipoteza kazi, wengine walipigwa talaka wengine walinyweshwa tindikali, wengine walikufa kabisa,
Sio kazi ku post Mafumbo kwny Instagram Eti ndio mtaishinikiza Serikal
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
686
500
Sio siri hali yakisiasa nchini ni mbaya, na huku tuelekeako bado kuna kiza kinene... Uonevu kutoka kwa serikali/chama tawala umekithiri na kufanya wananchi wasiwe na amani. Kiukweli they aren't playing fair.

Unajua mtu anapokuonea halafu ukikaa kimya au kujidai unatumia busara kumsihii aache halafu haachi, lazima utumie njia mbadala ili kujilinda lasivyo utaonewa mpaka basi na kukudharau akihisi huwezi kumfanya chochote.

Tumeshuhudia wanasiasa na wananchi kufunguliwa kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu kisa tu wameikosoa serikali, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe, tumeshuhudia wananchi wakipigwa na kukamatwa kwenye uchaguzi ulioisha tu hivi karibuni wakijaribu kutetea haki yao.

Ni muda wa kusema ENOUGH IS ENOUGH na kuitisha maandamano ya nchi nzima. Wapo watakaosema "ooh sijui watu wataumizwa na polisi au vikundi vya usalama, kwa hiyo tunaogopa kuhatarisha maisha ya watu..." lakini that is a price we know we have to pay kuikomboa nchi yetu... Unafikiri watu walivojitokeza kwenye uchaguzi mdogo ulioisha walikuwa hawajui kama vurugu zinaweza zikatokea na kisha kukamatwa au kupigwa na polisi au vikundi vya wafuasi wa chama tawala...La hasha walijua hayo lakini walikuwa tayari kujirisk na kutokea kwa wingi ili watetee demokrasia kupitia sanduku la kura. Hata kina Nyerere waliandamana sana tu wakati wanatafuta uhuru toka kwa wakoloni.

Kwahiyo UKAWA wasiogope, wananchi wako tayari kuandamana, lasivyo tutaonekana waoga kwamba tukitishiwa kidogo tu tunaufyata, ni muda wakuionesha serikali/chama tawala where the real POWER resides, nayo ni with the people.

WACHA KELELE VYUMA VIMEKAZA, JE TUKIUMIA MTATUTIBU KAMA LISSU AU POROJO TU.
ONESHENI MFANO, MKIDUMU MIEZI 6 SISI WANANCHI TUTAKUWA NA IMANI NA TUTAWAPA SAPOTI SIO UKISIKIA PAA WW NDO WAKWANZA KUINGIA KWENYE CRUSER/VX SISI WA CHUGA TUNAWAJUA NYIE ANGALAU LEMA ANATAABIKA KISIASA SOMETIMES AKIONESHA UZALENDO WAKE NA RISK SOME HOW NOT 100%, SASA WW MBOWE, MBWEMBWE MDOMONI ILA LEMA HUMUWEZI.

YOU MANAGE TO STAY 6MONTHS THEN YOU WILL BE REAL BUT I DOUBT IF YOU CAN EVEN MANAGE 24HRS?

TUWACHENI TUFANYE YETU, WE HAVE ONE BODY,ONE MIND,ONE SOUL & ONE LIFE TOO LIVE FOR THE FULLEST. MAISHA TIGHT WATU WANASTRESS NA LIFE, WAACHENI.
 
Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
Naunga Mkono hoja
Me too.
images-1232.jpeg
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,426
2,000
Warrior, nakuunga mkono kwa asilimia 100. Uongozi wa Chadema/Ukawa uache woga na uje na tamko makini la kurejesha kampeni ya Ukuta. Kuahirisha Ukuta indefinitely ndiyo kosa kubwa kuliko yote yaliyowahi kufanywa na Chadema/Ukawa. Kama tungeendelea na Ukuta yawezekana sasa tungekuwa tunaheshimiana nchi hii. Dharau, uonevu na udhalimu vimevuka viwango vya kuvumilika!
 
Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,407
2,000
Katika maandamano yoote yaliowahi kufanyika umeshiriki yapi mkuu, wee endelea kuwa bingwa wa Kyb, kama UKUTA w humu JF kweli waweza kuwa warrior maana humu ni mwendo wa keyboard
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom