Recent content by Samanyi

  1. S

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    umetumia lugha inayoudhi
  2. S

    Hitler DNA tests shows his a mixture of Africa and Jews...

    dunia inakimbia sana utakuwa umeachwa nyuma sana, kaza mwendo vinginevyo utatia aibu
  3. S

    Hugo chavez dead

    this is simply hate speech
  4. S

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    aaah dullah umeshindwa ku-survive kwenye mawimbi ya kiingereza nakushauri usirudie tena kuandika kiingereza, kiingereza chako ni suicidal, tumia kiswahili au kiarabu
  5. S

    FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    ziko mbili kwanza kudhoofisha upinzani wa kisiasa na kilojiki ya pili ni sweepers kwenye misafara ya viongozi wakuu wa serikali
  6. S

    Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

    pokea'' like'' mkubwa kuna watu wanafikiri sheria ni sayansi, sheria ni typical art a straight lip game of opinions and not facts.
  7. S

    Lema na Lissu waushambulia Mji wa Moshi

    Dar kuna wasanii wengi kuliko wanaharakati
  8. S

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    Unfortunately we have mr president who is too loyal to his religious feelings rather than loyalty to his country. The fact is when it comes to politics africans mindset do not go beyond their tribes and religions, that is why its hard to find patriots but rebels in Africa.
  9. S

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    Tanzania kuna sheria ya money laundering, hii inagusa hela zote chafu kuanzai zinazopatikana kwa rushwa, kwa kuuza madawa ya kulevya na zinazotolewa kwa malengo mazuri lakini mwiso wa siku zinafadhili uasi na ugaidi, kwa kuwa mgawaiya amekiri kwamba aliwahi kupokea hizo hela chafu nafikiri ni...
Back
Top Bottom