Lema na Lissu waushambulia Mji wa Moshi

Lissu & Lema,

We salute you! You are doing a very wonderful job for CHADEMA and Tanzanian people. Keep it up. Year 2015 is your year,is a year for CHADEMA,is a year for Liberation and Freedom to all Tanzanians.

God bless you so much.
 
msiishie kufanya mikutano ya makumi elfu ya wananchi, inabidi muhakikishe mnaacha structure kwa kuanzisha matawi kama CCM inavyofanya.. otherwise itakuwa kazi bure. napenda structure CCM waliojiwekea katika grassroot level.
 
tunaanzia huku kwetu Tarime..maana wametupa sumu ya kuwapenda jamaa wa magamba ghaflaa...tunahitaji ukombozi halisi wa jimbo letu tukufu...maana kuna vifaru huku hadi sehemu za starehe...daah! Eti kanda maalum ...
 
Mnashangaa mkutano wa CHADEMA kujaza watu Moshi? Hata mh. Kikwete akihutubia Chalinze atajaza halaiki ya watu ndiyo ngome yake au hilo pia mnataka tuwafundishe?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Nafikiri ni muda wa kuvunja jeshi hili na liundwe tena, pia waziri wao na bosi ali waondoke haraka, baadae washitakiwe, zama hizi sizo we ngoja internet ifanye kazi yake
 
Mnashangaa mkutano wa CHADEMA kujaza watu Moshi? Hata mh. Kikwete akihutubia Chalinze atajaza halaiki ya watu ndiyo ngome yake au hilo pia mnataka tuwafundishe?

Chama
Gongo la Mboto DSM
Hueleweki.
Lema kwake Arusha na Lisu kwake Singida.
 
Back
Top Bottom