Stupidity of this kind of thinking ndio huwaongoza wanawake kufanya maamuzi kwa hisia za kiunoni na mwishowe mnaishia kulialia na kujaza kurasa hapa za malalamiko.
Kila imani inaambatana na taratibu fulani ambazo huwezi kuzipuuza. Kwa mfano, wewe umesema ni Muislam na unajua mambo ya ndoa ya Kiislam ni tofauti na ndoa za Kikristo, kwenu mnaoana hata nane kwa mume mmoja, je mtu wa dini nyingine akioana na Muislam hayo huwa anayazingatia au anaongozwa na ashiki baadaye akili zikirudi mnaanza kusumbua watu?
Dini hazikuletwa kutugawanya. Shida ya wengi wetu ni kupenda kuropoka maneno tusiyoyajua au kuyafanyia utafiti. Tunaenda darasani kusoma, na bado tuna akili zile zile za zamani. Mkuu
amu,
ubaguzi mkubwa katika mahusiano ulikuwapo kabla ya kuja Ukristo.
Acha nikupe mifano ambayo waweza kuwa umeisoma lkn kwa mazoea yetu hukuwahi kutafakari:
1. Tafuta kitabu cha Things Fall Apart cha Chinua Achebe, soma kile uone taratibu za mila na jadi za Pre-Christianity Nigeria halafu uone nini maana ya ubaguzi. Mule kuna Outcasts wakiitwa Osu, hao walikuwa hawaoi wala kuolewa na free men.
2. Rudi hapa hapa Tanzania. Mara ngapi huko vijijini mtu hukatazwa kuoa ukoo fulani kwa sababu tu zamani za kale mtu fulani wa ukoo huo aliugua ugonjwa fulani? Sio mila na desturi ndio zinawakataza Wamasai kuoa au kuolewa na kabila lingine?
Kuzishambulia na kuziita kuwa zilikuja kutugawa ni kushindwa kufikiri. Hapo kabla ya dini walemavu walikuwa wanatupwa au kukimbiwa. Mapacha walitelekezwa na wajane wakarithiwa bila ridhaa zao. Wewe unayeongea hapa, saa hizi, isingekuwa civilization ilioletwa na dini ungekuta umeozwa kwa Libabu la miaka 53 bila ridhaa yako na huruhusiwi kubisha.
Akili za namna hii ndio zilitumika kuwakeketeni. Usiongozwe na hamu za ngono kufikiri kila kitu ni simple.
Huyo Msabato analalama tu aonekane ameonewa, lkn hata yeye mwenyewe anajua matatizo yao.
Msabato na Myahudi wameachana padogo sana, lazima kumchukulia kwa tahadhari. Hata mimi binti yangu akiniambia anataka kuolewa na msabato nitanawa mikono na kumuaga