Recent content by Sam Wellson

  1. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

    Jeshi la Police lina watu Wengi ambao hawajui Sheria wala Mipaka yao wapo wapo tu, Wanataka kuburuza kila mtu wakidhani wao wana mammlaka sana tena wengine ni Seniors kabisa na hawataki Walau Kusoma au Kujua Miongozo yao
  2. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

    Who is behind Gelard hando?
  3. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ni Dew Drop, Dasani na Afya The rest yana chumvi sio Kilimanjaro tu hata Uhai na Masafi ni ovyo sana, Kwa Regional brand nikiwa Tanga ntakunywa Amani, Nkiwa Moro ntapiga Udzungwa nkiwa Nyanda za juu ntapiga Hill
  4. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

    Mkuu Ulimuelewa Vibaya Ndugu Maharage Chande, Ukipitia Power Master Plan ya Nchi ndio utajua kuna Short term, Medium term na Long term ya mahitaji ya Nishati ya umeme iyo 60K ni Long term na nadhani ni miaka 25 ijayo ila katika short term MW 3000MW zinatosha nchi hii Kwa sasa Total Installed...
  5. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Kujua aliye kupigia kama haupo hewani

    Tunawasuburi mkuu
  6. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Kujua aliye kupigia kama haupo hewani

    Wakuu kuna Service ni za Muhimu sana hata kama Network Providers watatu charge, We are willing to pay palikuwa na Huduma fulani fulani ya Kujua mtu aliyekupigia Kama mtu umezima simu au Eneo ulipo halina mtandao itakuja jina na muda mtu alio attempt kukupigia na idadi ya attempts kwa sasa naona...
  7. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?

    Hayo yanatakiwa watu wabeembee na wanyonye haswa yalale
  8. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa na mpenzi niliyesoma naye kuanzia msingi hadi chuo

    We jamaa tunafanana aisee Kila kitu mi pia sijawahi ku entertain Love affairs kazini kabisa na wala sina Mpango hata mzigo uingie kwenye Line ntachomoa naona kama japo hili linanipa Respect Fulani nzuri tu kitaa na Job
  9. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kijiji Kinaitwa Idete, Kata ya Mfuluni Kilosa, Hakuna barabara wala Huduma za kijamii
  10. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Soma iyo Mkuu
  11. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda My trip to Uganda

    I'm curiously waiting for him to come there and rewrite his statement in English
  12. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda My trip to Uganda

    Hahah this man doesn't understand that our Friends from Uganda Do not speak Swahili.
  13. Sam Wellson

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda My trip to Uganda

    Hello Chalii, can you please say it in English?
Back
Top Bottom