Sam Wellson
Member
- Jun 1, 2022
- 65
- 223
Wakuu kuna Service ni za Muhimu sana hata kama Network Providers watatu charge, We are willing to pay palikuwa na Huduma fulani fulani ya Kujua mtu aliyekupigia Kama mtu umezima simu au Eneo ulipo halina mtandao itakuja jina na muda mtu alio attempt kukupigia na idadi ya attempts kwa sasa naona Ni airtel tu ndio naweza kupata izo details ila Vodacom Tanzania wameondoa hii huduma