Sijawahi kuwa na mpenzi niliyesoma naye kuanzia msingi hadi chuo

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,375
Katika kukaa kaa kwangu leo nimekumbuka kumbe sijawahi miliki mpenzi niliyesoma naye ama darasa moja au shule moja.

Hii ni tangu nimeanza darasa la kwanza shule ya msingi hadi namaliza PGDE chuo kikuu!

Wakati nipo shule ya msingi darasa la 5, nlianza utundu kutongoza wasichana wa shule nyingine, maana pale shuleni kwetu nliwahi kutongoza nikaenda kushtakiwa ofisini kwa ushahidi wa barua nikaambulia kipigo kitakatifu. Nikaacha kutongoza wanafunzi wenzangu mule darasani.

Hali hii ya kutotoka kimapenzi na wanafunzi wenzangu iliendelea hadi nafika sekondari. Kule nikaanza kutongoza wanafunzi wa shule nyingine kabisa au wananzengo. Hadi namaliza kidato cha nne sikuwahi kula mwanafunzi mwenzangu pale shule.

Nimeenda mbele wavulana watupu nikamiliki msichana kutoka shule nyingine na kuchakata sana wanakijiji.

Kufika chuo kikuu mwaka wa kwanza nikatongoza msichana tukadumu wiki kabla sijachakata nikamtema kabisa. Maana alitaka kuniletea mapenzi ya kwenye tamthiliya, tangia hapo nikasimama na mademu wa kitaa, nikawachakata sana. Mapenzi ya kichuo chuo na wanachuo wenzangu nikaweka pembeni.

Nimeenda kuchukua Diploma ya Uzamili darasa letu lilikua na visu hasa, ila nikaamua niendelee kumiliki wanawake wa kitaani hadi namaliza.

Je, kuna yeyote mwenye uzoefu ya kutomiliki msichana maisha yake yote ya shule?

Atupe story aliishi ishi vipi katika hali hii?
 
Hata hivyo haina ulazima kama hukuwamiliki mpaka sasa kikubwa mashine inasoma.
 
Bro tunafanana aisee. Mm sio kudate na school mate wala college mate tu, hata mabinti niliokaa nao kitaa kimoja sijawahi kua nao ktk mahusiano. Hua inajenga heshima flani hivi. Na sasa naliendeleza huku kazini, sina shobo na nesi wala daktari mwenzangu yoyote anaeleta hizo swaga!
We jamaa tunafanana aisee Kila kitu mi pia sijawahi ku entertain Love affairs kazini kabisa na wala sina Mpango hata mzigo uingie kwenye Line ntachomoa naona kama japo hili linanipa Respect Fulani nzuri tu kitaa na Job
 
Bro tunafanana aisee. Mm sio kudate na school mate wala college mate tu, hata mabinti niliokaa nao kitaa kimoja sijawahi kua nao ktk mahusiano. Hua inajenga heshima flani hivi. Na sasa naliendeleza huku kazini, sina shobo na nesi wala daktari mwenzangu yoyote anaeleta hizo swaga!
Upo kama mimi
 
Katika kukaa kaa kwangu leo nimekumbuka kumbe sijawahi miliki mpenzi niliyesoma naye ama darasa moja au shule moja.

Hii ni tangu nimeanza darasa la kwanza shule ya msingi hadi namaliza PGDE chuo kikuu!

Wakati nipo shule ya msingi darasa la 5, nlianza utundu kutongoza wasichana wa shule nyingine, maana pale shuleni kwetu nliwahi kutongoza nikaenda kushtakiwa ofisini kwa ushahidi wa barua nikaambulia kipigo kitakatifu. Nikaacha kutongoza wanafunzi wenzangu mule darasani.

Hali hii ya kutotoka kimapenzi na wanafunzi wenzangu iliendelea hadi nafika sekondari. Kule nikaanza kutongoza wanafunzi wa shule nyingine kabisa au wananzengo. Hadi namaliza kidato cha nne sikuwahi kula mwanafunzi mwenzangu pale shule.

Nimeenda mbele wavulana watupu nikamiliki msichana kutoka shule nyingine na kuchakata sana wanakijiji.

Kufika chuo kikuu mwaka wa kwanza nikatongoza msichana tukadumu wiki kabla sijachakata nikamtema kabisa. Maana alitaka kuniletea mapenzi ya kwenye tamthiliya, tangia hapo nikasimama na mademu wa kitaa, nikawachakata sana. Mapenzi ya kichuo chuo na wanachuo wenzangu nikaweka pembeni.

Nimeenda kuchukua Diploma ya Uzamili darasa letu lilikua na visu hasa, ila nikaamua niendelee kumiliki wanawake wa kitaani hadi namaliza.

Je, kuna yeyote mwenye uzoefu ya kutomiliki msichana maisha yake yote ya shule?

Atupe story aliishi ishi vipi katika hali hii?
Jihesabu u mwenye bahati.
 
Mie sikuwala wakati tunasoma, nimechakata tukiwa vikongwe mwingine hadi akanipa pkpk kutoka duka la mmewe.
Wa msing na sec walioajiriwa nilishakaza wote ndani ya miaka 5 iliyopita.

Nb. Asante aliyeniunga jamii pimary alumn na jamii sec alumn wasap grupu.

Disemba kuna wanaojileta kijijini toka huko mijini, wanakazwa tena wawili, intelijensia inafuatilia.

Nishamkaza hadi mbunge nyumbani kwao.
 
Back
Top Bottom