Recent content by saly91

  1. S

    Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

    Mkuu tunaomba ichi kitabu cha knowing Mandela
  2. S

    Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

    Ontario ,i respect this young change maker ,he is barely 25
  3. S

    Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

    Majaliwa katoka uko kama two weeks zimepita katumbua watu balaa naona sasa Safar yake imetiki anataka watu wahamie soko jipya kwa lazma Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Uhuru Kenyatta alishinda sku walipompoteza Chris Msando Na mkono wake kutumika kuhack system basiii,yani Mimi Nina dhambi ila awa wanasiasa nadhani mbinguni watatumika kama kuni za kuchoma wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Biashara ya samaki

    Yanatumika wap Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario baba,mimi naomba za ufugaji wa kuku hasa layers,maeneo,vyakula,soko,kuwakinga na magonjwa etc,hii forex naona kichwa kimekua kigumu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Msaada: Natafuta program ya computer ya kufanya mauzo supermarket

    Naomba Mumtafte uyu: 0656967000,0683312469 Email : sugwejos@gmail.com kaboda@innovifytz.com
  8. S

    Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Wahitaj kusoma nini hasa
  9. S

    FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Mtoa mada ni moja kati ya vijana wa H.pole pole anaelipwa kuandika aya mtandaoni. Mlitaka aonekane na nguo alizopigwa nazo?Bashite obviously kaamuru abadili nguo ili movie Inoge.Watanzania wa leo tuna akili nyingi ebu tuache kidogo bana.Tumechoka
  10. S

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Hii comment haina dislike box??
  11. S

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Habarini wanajamvi, Nimekaa na kufikiria biashara ya kuwekeza japo milioni 1 kwa kipindi hiki cha uchumi mdororo na kutokana na ufinyu wa muda wangu nimepata wazo la kuwatafta mama Ntilie wa mtaani kama wawil watatu nikaboresha mazingra yao na kuwaongezea mtaji alafu tukaelewana pesa ya...
  12. S

    Dagaa wa Mwanza

    Aya wafanyabiashara na walaji kuna bi dagaa wabichi wa mwanza.Ni wasafi na weupe pee.Tunauza kuanzia kilo tano kwa bei ya 5500 kwa kilo,Weka order yako mapema.ukihitaji naomba uje DM
Back
Top Bottom