Recent content by Salimu kitabu

  1. Salimu kitabu

    Kitimoto chawashwa moto, vilio na mayowe ya kibinaadam...

    Kwakwel ni ukatili wa mwaka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Salimu kitabu

    Nimeona wahudumu wa Bar wa Bachelor in Laws na Education

    Swali lako lina mantiki kaka ila uliekutana nae si umesema ni mtu wa sheria mbona umerukia kwenye elim tena Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Salimu kitabu

    Wanawake Warefu (Tall Women)

    Ngoja niangalie wapumbavu wasio mjua mungu watakavyo mwaga povu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Salimu kitabu

    Wanawake Warefu (Tall Women)

    Ukisema hayo huku unajua kama umeumbwa au naww ni mrefu sm190+ lakin akili na busara zako ni mm190- Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Salimu kitabu

    Tupia broken english yako hapa

    Hii nimeipnda Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Salimu kitabu

    Tupia broken english yako hapa

    Iiver? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Salimu kitabu

    Kwanini BAKWATA isiwashawishi waumini wake kutumia msikiti ulio nje kidogo ya terminal 2 mkabala na kituo cha Puma?

    Nadhani inakuuma sana hyo kuona si kila ofisi na taasisi za umma kuna kanisa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Salimu kitabu

    Jiji la Tanga lina watu ambao hawapendi kabisa kufanya kazi ngumu

    Una takwimu au maneno mengi akili mjali Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Salimu kitabu

    Jiji la Tanga lina watu ambao hawapendi kabisa kufanya kazi ngumu

    Sio kosa lako unaongea kwa mdomo peke yake hujui kama akili busara pia hutumika kuongea pole rafiki yangu hicho ndo kiwango chako cha juu cha kufikiri Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Salimu kitabu

    Nasikia fao la kujitoa limerudishwa nssf kwa wafanyakazi sekta binafsi, je ni kweli kesho nikaache kazi nibebe changu?

    Mh rais katika mazungumzo yake yote alideal na wafanyakaz wa sekta yake i mean serekalin tu na sio sector binafsi na ishu ya kikokotoo kipya sikumsikia akizungumzia hicho kitu manake hata mm mwenyewe nataman hilo fao lirudishwe nichukue changu mapema Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Salimu kitabu

    Nimechoka sana na maisha

    Hv ninyi mnao taman kufa eti kwa dhiki za kidunia hamjui kama kuna maisha baada ya kifo na maisha hayo hutegemeana na matendo yako ulio ishi hapa dunian sa kama tendo lako la mwisho ulilo ondoka nalo hapa dunian ni kuua nafsi yako bila kutubu naww ukafa utaiweza dhiki ya maisha ya kaburn na...
  12. Salimu kitabu

    Nimechoka sana na maisha

    KAMA WAFIKIRI DUNIA NI NGUMU JARIBU KIFO
  13. Salimu kitabu

    Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

    Huyu jamaa ni mtu wa pekee kwakweli na nimfano wa kuigwa na kila mtu tuachen UBAGUZI WA RANGI ni mtanzania mwenzetu huyo
  14. Salimu kitabu

    Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

    Kwan niwangap walisomeshwa na serkal na hawakurud kulitumikia taifa lao
  15. Salimu kitabu

    European Parliament resolution on Tanzania

    Mapovu ya jumuiya ya ulaya na marekan kubwa hasa ni baada ya kuskia baadhi ya viongoz tanzania kukemea ama kupinga ushoga hayo mengine ya ukeukwaj wa kidemokrasia yalikuepo mda mrefu kwetu tumesha yazoea hatujaskia hata sku moja jumuia ya ulaya na marekan kuzungumzia sasa kabla ya tbc kusema...
Back
Top Bottom