Tupia broken english yako hapa

Tupia broken english yako hapa

Huu uzi ungeletwa kuanzia tar 15.11.18 tungeazima mbavu za kuchekea. Maana wenyewe wanakuja uraiani ati
 
-Ukiji brother sugarcane job will catch fire
-Ukijikakamua kazi itapamba moto
 
1.Mzungu: My name is LIVING STONE.
Mkalimani:Jina langu ni JIWE LINALOISHI
Mzungu:I was born in NEW YORK.
Mkalimani:Nilizaliwa katika KIINI KIPYA CHA YAI.
Mzungu:Then I was transferred to JOHANNESBURG for more research,
Mkalimani:Baadae nilihamishiwa katika MFUKO WA YOHANA kwa utafiti zaidi
Huyu mkalimani ameuwa asee
 
Can I take all all...naweza kuchukua yoteyote??
 
You are kitaste = wewe kilaza

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Sha ladder = Shangazi

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Back
Top Bottom