Hapo ndipo pananiacha hoi, kwa nini amiri jeshi mkuu anajificha? Kuna mahali pengine popote duniani, mkuu wa nchi amepotelea mafichoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti idiotness! Wewe pia ni zao la hizo shule. Mwalimu wa kiingereza anaongea kiswahili toka mwanzo wa kipindi mpaka mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilabu vya namna hiyo vipo kila mahali Tanzania na ni sehemu ya maafande kujichukulia mgawo wao kila siku kwa ajili ya mboga na kubrashia viatu, haitatokea vifungwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana nchi maskini kabisa duniani kuingiza mgonjwa aliyetibiwa kwa gharama kubwa kuliko wote duniani kwenye Guinness Book of Records. Walipongia madarakani walisema nchi ilikuwa inapigwa sana hii, lakini kumbe wao katika kipindi kifupi tu nchi inapigwa hadi kuvunja rekodi na bado...
Si ndio hapo nashangaa! Wiki 2 zinapita, huwaelezi wananchi wako unavyopambana na janga linalowasibu, halafu utegemee kusifiwa tu, kwa lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kwenye maboksi si ya Wamadagascar waishio nchini ikiwa imetolewa na ndugu zao walioko Madagascar? Au sikumwelewa vizuri Kabudi. Yetu ni chupa mbili tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.