BenMB
Member
- Jul 15, 2017
- 25
- 41
Nikiwa raia mwema napenda kukujulisha kuwa Kuna klabu ya pombe za kienyeji mita kumi kutoka kituoni kwako, klabu hii ipo katikakati ya Makazi ya watu, na ilipo siyo rasmi, klabu hii inahatarisha afya ya raia kwa mazingira yake machafu, na mkusanyiko ambao pia ni hatari kwa janga hili la Corona, klabu hii inafanya biashara saa 24,serikali imeweka muda wa kufungua sehemu za biashara za vinywaji kama pombe lakini huyu muhusika sheria hii haimuhusu, tafadhali usisubiri maafa yatokee ndio uchukue hatua, mi nimekujulisha kabla,Corona ni hatari tuchukue hatua zuia huu msanyiko usiokuwa wa lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app