COVID-19 health alerts: US Embassy Dar es Salaam

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,751
2,000
Sasa matusi ya nini we **** unaishi kwa mama yako?
Nina nyumba huku nje, Tanzania nina nyumba nne Dar es salaam na moja Mwanza na sio za mkopo zote nimetoa hela mfukoni, wewe una nini? Aliyekuja na matusi kwanza si wewe hapo? naona yamekuuma nyoko
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,561
2,000
Nina nyumba huku nje, Tanzania nina nyumba nne Dar es salaam na moja Mwanza na sio za mkopo zote nimetoa hela mfukoni, wewe una nini? Aliyekuja na matusi kwanza si wewe hapo? naona yamekuuma nyoko
We kweli m.senge na Mo Dewji asemeje?, Na wanaomiliki timu kama Chelsea wasemeje?, Hii inaonysha una akili fupi sana. Kwahiyo mwisho wako wa mafanikio nyumba nne?, Dah mnaaibisha jamani. Kwahiyo ukiona ID fulani akili tayari unajua huyu ana nyumba moja, yule ana tatu, yule hana. We ilibidi uwe Facebook huku unatujazia server tu.
 
KAYAFA MKUU

Member
Oct 20, 2019
99
150
Binafsi sikubaliani na ukimya au usiri wa taarifa za COVID-19 nchini. Lakini tangazo hili la ubalozi wa Marekani halinishtui kwa kuwa hilo ni jukumu lao kutoa taarifa kwa watu wao, na hata balozi za Tanzania za nchi mbalimbali za Ulaya,Marekani na sehemu nyinginezo zilipaswa kutoa taarifa na misimamo yao kwa watu wao kuhusu janga hili. Kwa hiyo ni Jambo la kawaida tu.
 
Msweet

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
1,963
2,000
Nawaza kitu kimoja..... wanaomiliki biashara za nyumba za kulala, lodges, hotels, guest houses .... Wanafanya nini EXTRA ambacho walikuwa hawafanyi kabla ya hili janga la COVID -19 ili kuwakinga wafanyakazi na wateja wao na maabukizi ya ugonjwa huu....??? Hasa kwenye swala la usafi wa vyumba, matandiko, mashuka, foronya, mablanketi..... nk
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,810
2,000
Mungu aliyeletewa na mabeberu ndiyo unamuongelea? alikwambia anachokifanya au unamuongelea?
Na aliyesema watu wawekwe quarantine nani? hahaha mbona unanijazia maneno we kilaza?
Kila kitu mungu mungu utadhani ulishawahi kumuona, mungu wa mabeberu umemkubali, simu zao umezikubali, kila kitu wanacholeta umekikubali unatumia leo unajifanya mjanja njia wanazokwambia za kujilinda na covid unajifanya unajua zaidi? haha tahira kabisa, haujakaribia level yangu kaa mbali stupid
Nyie ndio wapumbavu mnaofikiri Mungu ni mzungu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
2,123
2,000
Inachofanya serikari ni kujitekenya na kucheka wenyewe hatua zao ni more damaging kiuchumi kushinda wanavyodhani.

Hakuna nchi itaruhusu raia wake waende sehemu ambayo ukabilianaji na ugonjwa unaoweza kuua liwe jambo la siri; yaani kiongozi wa serikari itakayo toa baraka raia wake kuruhusiwa kuja Tanzania ni kama imeamua kutafuta vita na pressure groups mbali mbali huko kwao vita itakayoongozwa na media the latest hata kama plan yetu ni herd immunity basi kupata watalii itakuwa mwakani.

Nchi zinazotegemea bandari za Tanzania na wapo serious kuidhibiti COVID 19 ni kwamba maamuzi ya serikali yetu yamewakuta by surprise kukurupuka kuna athari na si ajabu kuna millions off tones baharini ambazo zilishaagizwa but eventually after their estimated lead time si ajabu wakabadili bandari even at their the cost.

The pathetisim in handling this is beyond me
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,810
2,000
Tanzania imefungua utalii. Unataka kusema waziri wa utalii na maliasili ni mjinga? Ama unataka kusema serikali kufungua utalii ni wajinga?

Hebu uwe na heshima dada kwa viongozi wako. Umekalia kuuza nyapu unatukana viongozi wako.
Sasa kilichokufanya upanic hapa kiasi hiki ni nini?

Mimi nmeshaoa na wala hii biashara yako uliyoiongelea hapa kwa mafumbo mimi siwezi kuinunua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,810
2,000
Naona umedandia train kwa mbele, siijaongelea chochote kuhusu maiti, pumbavu ni wewe na bibi yako.
Mimi nimemuonya aliyesema korona haipo kumwambia awe makini tusikae tunawacheki USA huku hali yetu inaweza badilika muda wowote ule ikawa mbaya, wapi umeona nimeandika vifo viimiejaa barabarani? nyoko, muwe mnasoma mnamaliza na hakikisha umeelewa kabla ya kujibu ushenzi na matusi juu, unadhani matusi mimi siyajui?
Dada hapa siyo facebook kule kwenye pahe zenu za kutafuta mabwana!

Maana naona una coment kama una msongo wa mawazo hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
1,530
2,000
Inachofanya serikari ni kujitekenya na kucheka wenyewe hatua zao ni more damaging kiuchumi kushinda wanavyodhani.

Hakuna nchi itaruhusu raia wake waende sehemu ambayo ukabilianaji na ugonjwa unaoweza kuua liwe jambo la siri; yaani kiongozi wa serikari itakayo toa baraka raia wake kuruhusiwa kuja Tanzania ni kama imeamua kutafuta vita na pressure groups mbali mbali huko kwao vita itakayoongozwa na media the latest hata kama plan yetu ni herd immunity basi kupata watalii itakuwa mwakani.

Nchi zinazotegemea bandari za Tanzania na wapo serious kuidhibiti COVID 19 ni kwamba maamuzi ya serikali yetu yamewakuta by surprise kukurupuka kuna athari na si ajabu kuna millions off tones baharini ambazo zilishaagizwa but eventually after their estimated lead time si ajabu wakabadili bandari even at their the cost.

The pathetisim in handling this is beyond me
Doh!
Umeniamsha usingizini mkuu!
Kweli bana, Marekani ni moja kati ya nchi zinazoleta watalii wengi nchini,
Watakapoona kuwa TZ si salama, kwa vile hakuna hatua zilizo wazi zinachukuliwa dhidi ya Corona, watawakataza watu wao wasije TZ kiutalii, Hivyo hivyo na nchi za ulaya ambazo hufuta mapendekezo ya USA.

Kiuchumi
Ni jana tuu ndio nimeona Bank kuu ya TZ inatowa 're leaf 'kwa wateja wake kutokana na athari za covid ndani ya uchumi, hata hivyo wamechelewa sana ,lakini hatua yao hiyo ni nzuri na stahiki kwa uchumi wetu.Namkumbuka Mh Zito alitoa Ushauri mapema ,lakini waliukaidi kwa vile aliyetoa si miongoni mwao.

Kidiplomasia
TZ tunahitaji kujiweka vizuri,kinyume chake tutatengwa na tutapoteza oppotunities kwa marafiki zetu na majirani zetu.
Hili janga si la kikanda, ni la kidunia ,lazima wote tuende sambamba,

Tujiandae na yajayo
Lakini nawambieni hivi karibuni mutasikia Chanjo zinakuja,ukizikataa basi umejichimbia shimo la kutengwa na dunia .

Nahisi Raisi inabidi aamshwe ili atoke usingizini, Ashauriwe vizuri kama anashaurika,Maana Ukitembea na chongo na wewe fumba jicho lako wasije wakakutofoa ili uwe kama wao.

Ukweli ni kwamba Janga hili la corona mataifa Makubwa hayatoacha kulitumia ili kujinufaisha .
Tazama Mchina ,baada ya nchi za magharibi Kuuza hisa zao katika world market katika makampuni yaliyoko china kutokana na janga hili kuangusha soko la hisa ,Wachina wamezihodhi hisa zote zidi ya 80% na kwa sasa china ndio ''sole owner'' wa makampuni makubwa kama vile Nike, Canon, na mengineyo yaliyowekeza nchini China.

Huu ndio ukweli
Tufungueni Macho tuacheni kujiamini eti TZ hakuna Corona, Jee hizi after math za corona tutaziweza?
 
Source kubwa ya government revenue ni service sector, kilimo, utalii na bandari. Ukitoa utalii na si Tanzania tu iliyoathirika bali dunia, zilizo baki even with a lockdown bandari, service sector (telecommunication) na kilimo hizo ni sector ambazo zinaweza toa output at 100% even under lockdown kwa sababu automatic the work could be done at safe distances or for the most part by computers (customer service could be reduced for distances practices)

Ni hivi these people did not do their economic risk assessment hila hata kwa lockdown madhara ya Tanzania yangekuwa madogo sana hizo bar, machinga ambae alipi kodi (na kwanza keshalipia kitambulisho chake) na wabangaizaji wengine could have waited for two months na hata kusimamisha kazi sehemu ambazo ni cost centres za serikari na kuwapa half wages bado serikari ingekuwa on top.

Kodi za nyumba watu wangetakiwa wadai baada ya miezi mitatu sio wasamehe za muda huo; hila wasitoe wapangaji kipindi hiki ambao hawana mpaka lockdown iishe.

Kwa hizi hatua zao ata watanzania diaspora sidhani kama watakuja mwaka huu let alone ngozi nyeupe; ni sawa na kuwaambia watu waende kwenye Corona hotspot na kurudisha gonjwa kwao that is the line their media’s and experts will pick.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
4,894
2,000
maambukizi ya na vifo vya Marekani vya Massa 24 sisi hatutavifikia mpaka Corona inaondoka hill suala halihitaji ujuaji linahitaji kudra za mwenyezi Mungu tu vinginevyo hata Marekani wataisha wote
Labda wakati mwingine wanajisikia vibaya kwamba taifa kubwa kama lao liko kwenye heka heka halafu sisi ki-nchi kidogo tu lakini kimetulia. Pengine labda walitamani kuona tunahangaika na tunahitaji ushauri kwao, huwezi kujua
 
Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
709
1,000
Nawaza kitu kimoja..... wanaomiliki biashara za nyumba za kulala, lodges, hotels, guest houses .... Wanafanya nini EXTRA ambacho walikuwa hawafanyi kabla ya hili janga la COVID -19 ili kuwakinga wafanyakazi na wateja wao na maabukizi ya ugonjwa huu....??? Hasa kwenye swala la usafi wa vyumba, matandiko, mashuka, foronya, mablanketi..... nk
huko usiwaze kwenda kabisa ni hatari juu ya hatari. fikiria zile short time mashuka yanabadilishwa chumba hiki kupelekwa kule. na mara nyingine mfano sehemu za baridi yale mablanket hayafuliwi kwa muda mrefu.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
4,894
2,000
Hiyo ni alert wanatoa kwa nchi nyingi tu zenye raia wao...hata ya South Africa kuna kipindi walitoa...,Kama unaona ni jambo la ajabu basi ni mtazamo wako tu binti.
Kisa alert imetolewa pia SA ndiyo kunafuta uajabu wake? Alert yao itaendelea kuwa ya ajabu tu, hata kama wameitoa katika kila nchi dunia nzima. Uwingi wa alerts zao, au alerts zao kuwepo katika mataifa mengi, hakuzifanyi zisiwe za ajabu, kama ni za ajabu except zitaendelea kuwa za ajabu tu bila kujali uwingi wala nchi ambako zimetolewa.
 
Katashekadm

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
295
250
Kwao wanakufa kama kuku wa broiler, alafu wanaleta zao kwa nchi ambayo hats watu 1000 hawajafa!
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
734
1,000
Mnaangaika kuokoteza upuuzi, wakumbushe kuwa kwao jana ndo wamepata namba ndogo ya vifo, vipo 1000 tuu. Eti Dar ina kiwango kikubwa cha Corona, New York vipi?.. Saa nyingine mnawapa bichwa hawa American Embassy, haka kacorona kwao kamewatoa knock out.
Huu ni upumbavu, tunataka update zitolewe kila siku haijalishi wanakufa wangapi.
Wao wanaeleza hali halisi ya vifo na maambukizi ya nchi yao

Huwa nawashangaa startines, kutangaza data za nchi zingine zinazohusu corona na kuacha za nchi yetu ambayo ni muhimu kuliko hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom