Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,360
2,000
Mambo ya kiimani zaidi, wanasema hata kijana wa Kikurya akikuibia na akikamatwa akihojiwa akikataa kama hajaiba inatakiwa arambishwe K ya ng'ombe hapo lazima hayokubali wanasema akiramba tu basi huko nyumbani kwao kijijini hali inakuwa sio shwari. Sijui hii nayo ina ukweli? Ila wanasema kama kaiba kweli ataongea ukweli wote lakini K ya ng'ombe abadan hatoramba!

"رمضان كريم وصوم مقبول"
Ndugu Wewe ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mkara au Mrangi hivyo Kimila una Utani nao hawa Wakurya?
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
27,080
2,000
Mambo ya kiimani zaidi, wanasema hata kijana wa Kikurya akikuibia na akikamatwa akihojiwa akikataa kama hajaiba inatakiwa arambishwe K ya ng'ombe hapo lazima hayokubali wanasema akiramba tu basi huko nyumbani kwao kijijini hali inakuwa sio shwari. Sijui hii nayo ina ukweli? Ila wanasema kama kaiba kweli ataongea ukweli wote lakini K ya ng'ombe abadan hatoramba!

"رمضان كريم وصوم مقبول"

🤣🤣🤣dah haya mambo jamani....kuna nyingine wanasema ukitaka usirudi sehemu unayoishi kanywee maji ya kunywa choon..ati utasahau kbs kurudi ...hahahaa
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,634
2,000
Sasa mwamba haujiulizi kwanini huyo mtoto hakupona hilo tatizo wakati anazaliwa kama alizaliwa kwa njia ya kawaida siyo upasuaji?

Maana wakati anazaliwa hiyo dhakari yake ilipita na kugusa hapo hapo wanapotaka wagusishe baadaya ya miaka kupita!!

Dawa zingine ni imani tu, wapo watoto inawachukua miaka hadi hiyo kitu kuanza kusimama, na mara nyingi wakiamka kukojoa usiku au asubuhi mapema 'inasimika' kama kawaida.
Tatizo hapo ni uoga na haraka za wazazi, wild thoughts za wazizi ndio zina wapagawisha wanaenda kumchovya mtoto alipotokea kitu ambacho siyo sahihi na magonjwa ya sasa. Kuna HPV na mazaga mengine ya hatari yanakuwa hiyo sehemu na haijulikani haraka, huja kuleta madhara yanayo onekana baadae sana, mfano mtoto anakuja kuota genital warts kwenye kichwa cha dhakari kwenye tundu la mkoja mnashangaa katoa wapi.
Kisha mnaanza na tiba za mionzi kuchoma hicho kichwa cha dhakari!!
CC: Mzukulu usisahau kumuita na yule mber muandamizi wa JF aliyekuja kuomba ushauri kama mwanawe apewe tiba hii?
Mkuu ukitumia logic na scientific explanations kwenye issue kama hizi utaona kama kila kitu ni upuuzi.

Ukiambuwa uoneshe uhusiano wa kutwanga madawa na kunuiza katika kumuharibia mtu mafanikio yake sidhani kama utaweza.

Mwisho wa siku ndio maana nilisema "sijathibitisha" means haijawahi hata kutokea kwa mtu wangu wa karibu ingawa mambo ya kiimani au dark magic huwa siyapuuzii completely mkuu. Naamini yapo
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,226

Mkuu sikatai, Lisemwalo lipo lakini na hayo madhara ya kisayansi yasemwayo yapo.
Kwa mfano mambo ya kukata kimeo yapo na yana saidia watu lakini yameleta shida za HIV na tetanus kama vifaa vya kukatia vimeo havikutakaswa ipasavyo.
 
True mkuu... sema hizo ni special cases.
mfano huyo mtu niliyehadithiwa (kijijini )a likuwa ni mtu mzima hanithi ila inasemekana alipotumia hiyo njia akaoa kabisa. Hivyo siwezi jua ni kweli au ni uongo maana mtu mwenyewe sikuwa namjua
 
Omera Yawa

JF-Expert Member
May 5, 2016
840
1,000
Tanzania tuna imani nyingi za kipumbavu, ila hizi nazosoma hapa ni za kipumbavu zaidi

aim for the stars
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,470
2,000
Huu ni ushirikina wa kiwango cha shahada ya pili
Kwanza natanguliza Kuomba ( Kuwaombeni ) Radhi kama Maudhui na Uwasilishaji wa Mambo ambayo nataka Kuyagusia hata yatakuwa Mkwazo wa namna yoyote ile Kwako kama ukiyasoma ila nimeamua kuyaleta haya mambo Makuu mawili Kwenu hapa ili leo tuweze Kukata Mzizi wa Fitina.

Je, ni kweli kwamba.....

1. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kiume halafu akagundua kuwa Uume wake hakisimami kama cha Watoto wenzake au hata Mama akigundua kuwa Mwanae wa Kiume ambaye ameshabalehe ila amekumbwa na tatizo la Uume wake kutosimama basi huyu Mama Kisirisiri tu akiwahi kwenda nae Chumbani huyo Mtoto wake au akimvizia tu amelala Usingizi akigusisha Uke wake basi mara moja tatizo hilo la Mtoto wake linaisha na Uanamume wake unarudi / unakuwepo kama kawaida?

2. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kike halafu akagundua kuwa ana tatizo la Kutopata Mtoto ( Ugumba ) au akipata Mimba ( Ujauzito ) inaharibika basi huyo Mama akimlazimisha huyo Binti yake avae Chupi zake au za Bibi yake au Shangazi yake au agusishe Maziwa ( Matiti ) yake katika sehemu za Siri za Mama yake ( Ukeni ) basi mara moja hilo tatizo linakwisha na kuwa Historia Kwake?

Wenye kujua zaidi au wenye Uzoefu na haya Mambo Mawili tajwa hapa tafadhali karibuni mfunguke ili nasi tuelimike zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
3,183
2,000
Imani zetu nyingi za ki asili ni upumbavu, kuna baadhi ya nchi hapa Africa mazao yasipostawi shambani wanatumwa wanaume waende porini wachimbe vishimo waweke sehemu za sili wafanye mapenzi na ardhi eti wanafanya ardhi izae
najua watu watapinga hili nitaleta video kutoka youtube

Sent using Jamii Forums mobile app
We bado sana UKO kwenye utumwa Wa White pig unawadharau wazee wako
 
Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,360
2,000
Tanzania tuna imani nyingi za kipumbavu, ila hizi nazosoma hapa ni za kipumbavu zaidi

aim for the stars
Na Wewe baada ya Kujua kuwa linalojadiliwa hapa ni la Kipumbavu na bado ukachangia basi ndiyo Mpumbavu Mkomavu hasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom