Recent content by Sakalai

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    Haya Sasa .... Kikowapi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba, Duka vinauzwa na NMB Bank

    Nasikia jamaa alimpigaga tukio bosi wake wazamani ndio akapata mtaji wakuanzisha duka lake, itakua laana ya bwana gopali.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbona watu hawatafuti madini baharini

    Wakubwa wnafanya Ivo kitambo tu . Nadhani garama ya mashine wanazotumia ndo kikwazo kwetu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Nenda wewe ardhi,zuga Kama mnunuzi, utapewa details zote Kisha anzia hapo.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

    Hata hiyo tano Bora sio mbaya, ni hatua kubwa kwakweli.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

    David matayo, sidhani Kama anahudhuria hata hivyo vikao vya bunge.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Jiji lingine lenye watu wajanjawajanja, usanii na utapeli zaidi ya hili?

    Uganda . Mbongo anaitwa muyaye(muhuni)
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

    Series, season then episodes
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Kwamba MUSK anachukua innji na bado anabakia na pesa nyingeniinayozidi hiyo thamani ya nchi yeti?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

    He!! Acha hizo mkuu vyuma vinaamsha now days balaa usibishane na technologia mkuu
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha kwa break up, bodaboda tuwaheshimu sana

    Mwamba kavuruga taarifa za kiintelejensia aisee.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Yenye freezer haiezi beba hata tani kumi. Kumbuka tandam kibongo inabeba tani 17 ,18. unategemea mfanya biashara akodishe ipi hapo? Na ukizingatia yenye freezer nauli iko juu zaidi japo mzigo inabeba mdogo?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Upo sahihi mkuu,chuma ikipakia Mali kuoza lazima itembee mwendo mkubwa kusudi mzigo usiharibikie njiani na ukizingatia bodi za hizo gari hazina mifumo ya kupozesha
Back
Top Bottom