Recent content by saidyakub

  1. saidyakub

    TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Binafsi nimemfahamu huyu Padre kwa zaidi ya Miaka 30. Hakika huyu baba alikua mtumishi wa Mungu aliye hai... ni vile kwamba alikua mwanadamu na alipaswa kufa kwa kua alizaliwa na mwanamke. Lakini it's fair to say kwamba hii ilikua ni zawadi bora kabisa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa uhai wa...
  2. saidyakub

    Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Hapana, siwezi . Miaka 9 akutane na mguu wa mtoto, aisee huyo binti hatozaa maisha yake yote
  3. saidyakub

    Arusha: Watoto wawili watuhumiwa kumlawiti mdogo wao baada ya baba na mama kuikimbia familia

    Shetani alipewa nafasi kutawala familia hii, kidogo kidogo akajipenyeza kupitia tamaa na uvivu. Kisha akahamia kwenye mahusiano duni ya mke na mume, ndipo akamalizia kwenye hilo la ulawiti. Sasa kijana kishaharibika kabisa . Sijui kama ataweza kuacha.
  4. saidyakub

    Azam wametumika kama ngao ya Simba kwa Feisal

    Ukiwa Yanga kuna tu akili flani tunafutika kwenye ubongo
  5. saidyakub

    Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Kwa hiyo na wewe unataka kutuaminisha kwamba kile kioo ni kigumu kuliko chuma, sivyo? Ndege imekita chini, sehemu ya mbele imepinda( chuma) ila kioo hakijavunjika( kigumu kuliko chuma!)... tafiti vizuri
  6. saidyakub

    Mfumo wa usajili wa magari Tanzania

    Itakua tushalala...
  7. saidyakub

    Anayedaiwa kinara mauaji ya kukodiwa naye auawa

    Itakua ni MSUkuma tu maana hilo jina duh
  8. saidyakub

    Haijawahi tokea: Mkwanja watakaovuna Yanga SC wakibeba ubingwa

    Kuna pesa ya group stage na ya quarter final. Umeweka sawa kumbukumbu zako?
  9. saidyakub

    Mradi Wa Ufugaji Kuku Kupitia Tancet Group

    Hao watapita mitaani kwenu watakusanya pesa kiasi mtakachoweza kuchanga na miaka itaenda hakuna kitakachofanyika. Kifupi ni wezi wa kivikobavikoba. Target ni kina mama wale desperate, hawa ni rahisi kuwachukulia alfu 5 zao na kuwajaza upepo.. Nawakumbusha tu kuliwahi kuwepo na taasisi hai...
  10. saidyakub

    Jinsi ya kuzuia figo zako kuwa na mawe

    Uniti 1 ya maji ya DAWASA ni Tsh 1,679.6 sawa na lita 1000 ukinywa utatumia siku 333 hivi. Ni kuyachemsha tu na bei ya mkaa haiwezi kufika kote huko😁😁 usitafute sababu. Chemsha maji beba kwenye chupa. Zipo kibao mtaami. Ni fashion pia. Pia unaweza kupunguza matumizi ya pesa ya kununua bia au...
  11. saidyakub

    Rwanda yatuhumiwa 'kupika' takwimu za uchumi kwa manufaa ya kisiasa

    Naombeni link za sources za hii habari ili niisome kwa kina kuongeza uelewa
  12. saidyakub

    Masaada: Wenyeji wa Iringa wapi sehemu nzuri ya kula bata jioni?

    Kwani hadi leo hujajua namna ya kuepuka kupata UKIMWI? Njia iliyokuu ni ABSTAIN...till you die
  13. saidyakub

    Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumuua mpenziwe Mabibo Hostel

    Kuna watu walichelewa kuanza std1 wengine walirudia rudia sana. Wengine waipomaliza form six waliingia mitaani kusaka pesa
Back
Top Bottom